Recent content by Santaf

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwani wanafunzi wakimaliza kidato cha sita ni lazima waende JKT? Kwani JKT ni lazima?

    Sio lazima ila kuna kazi za serikalini wanatoa saivi sharti uwe umepita jkt
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi kuna huduma mbovu, nenda Hospital ya Serikali.

    Ukweli lazima tuseme huduma ni mbovu na hawako makini muda mwingine mimi walipoteza majibu ya mtoto maabara nimekaa mpaka muda wa kazi umeisha nikaambiwa niende mwenyewe maabara kufatilia nikakuta wanafunga ,yule mtu wa maabara kabaki anashangaa tena ananiambia huyu mtoto nilimpima na kusimamia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hawa NIDA kweli hawajui wafanyalo au watakalo?

    Hao wanataka ulaji mimi nipo dar nilichukuliwa kitambulisho mwanza unaenda na namba yake ya nida na namba ya simu aliyojiandikisha nayo anapewa bure
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ametoboa
  5. S

    JamiiForums Tanzania Napata wapi gari za Kisemvule?

    Safari yangu ni ya kesho sio leo mkuu Asante
  6. S

    JamiiForums Tanzania Napata wapi gari za Kisemvule?

    Nipo nyumbani nasafari ya kwenda huko kesho sio leo mkuu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Napata wapi gari za Kisemvule?

    Nipo wapi sijakusoma Hawapafahamu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Napata wapi gari za Kisemvule?

    Habari wanajamii msaada pale Karume kuna gari za kwenda Kisemvule na zinapaki upande upi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wanaedit wajinga ndio waliwao
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kashapigwa moja
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo

    Wengine sio waajira tunapambana na maisha tuishi hatuna bond zaidi ya vitu vya ndani na duka tafadhari fuataneni dm nafatilia uzi wangu naweza pata msaada
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo

    Nina vitu vya ndani nimejiajiri nina duka la nguo
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo

    Nimejiajiri mwenyewe nina duka la nguo sinza mapambano
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo

    Nahitaji
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo

    Dhamana ya kwanza duka la nguo,kitanda na kabati
Back
Top Bottom