Kwani Chadema hawakujua hili litatokea. Mbona kilikuwa wazi kwa watu wenye political foresight. Chama ambacho hakina hiyo sustainability yake ipo mashakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Project Finance inawezekana mwekezaji akaweka hela/ mtaji kidogo na hela nyingi akakopa kwa Syndicated loans kwa ahadi kuwa atalipa mkopo kutokana na cash flows zitakazozalishwa na project tu,na sio kutokana na mapato yake. Chini ya Project finance mradi/project inaendeshwa na Special...
Jamani kuimalishe hizi Kamati za Binge ziwe na wataalamu au washauri waliobobea.Mwekezaji was Mlimani City alichokifanya in Project Finance sio traditional project financing.Watu wengi na labda hiyo Kamati ya Binge wanaelewa traditional project financing. Ni vitu tofauti kitaalamu
Project Finance in tofauti na traditional project financing ambayo inategemea hela za mwekezaji na mikopo.Mwekezaji analipa mkopo kutokana na hela zake hats kama haziusiki na mradi anaofanya.Tuelewe Project Finance inafanyikaje ndio tuje tujue kwa nini mwekezaji alitoa $75
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.