Recent content by Sankinga

  1. Sankinga

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Je, hiki kinyesi kwa mtoto ni kawaida?

    Aisee! Samahani mkuu.
  2. Sankinga

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Je, hiki kinyesi kwa mtoto ni kawaida?

    Habarini wakuu! Mtoto wangu mwenye umri wa miezi 11 ametoa hiki kinyesi, kina shida yoyote kwa anayefahamu? Ninaomba msaada tafadhali.
  3. Sankinga

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini Wazungu ndio wanalisha Hoteli za Kitalii Tanzania, Hii aibu kuu

    Uko sahihi sana boss. Nimeshuhudia kwa mzungu mmoja maeneo ya Ifunda, ana kampuni inayoitwa Masifio. Jamaa anapanda mboga kila wiki japo ni kwenye eneo dogo tu. Mazao kama nyanya na matango anapanda kwenye green houses lakini mengi anapanda kwenye open space. Kiukweli analima mboga aina nyingi...
  4. Sankinga

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu rafiki yangu anaweza kuwa mtu wa aina gani?

    AUTISM
  5. Sankinga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Watu kunitazama sana

    Sawa MTOTO.
Back
Top Bottom