Wakuu... Tuendelee kuzingatia ushauri wa wataalam wa Afya juu ya hili gonjwa la COVID-19
Naomba leo tufikirishe kidogo nini kimetokea huko china ndani ya masaa 24 yaliyopita?
Ni kwamba hawa ndugu zetu kwa muda sasa walikua wakiripoti #ActiveCases 1,2** . Wamekua wakiHold apo apo mpaka kufikia...
Umesoma lakini taarifa yenyewe hapo? Trump kadondoka kwenye simu ya mrussia yule kama alivyofanya kwa Xi ..........
uswahilini kwetu tunasema " Marekani Kushnei "
Kwa kweli kuna usumbufu mkubwa kwa raia wanaoishi maeneo yale na hata wale wanaotaka kusafiri mikoani. Daladala zinasimama barabarani zinaleta usumbufu kwa magari mengine. Juzi tu hapa gari ndogo ilitaka kugongana na lori kukwepa daladala iliyosimama kupakia abiria wa Gongo la Mboto.
Mamlaka...
Wakuu, ni ukweli sasa Marekani imenyoosha mikono juu kufatilia kuongoza kuwa na cases nyingii za wagonjwa wa COVID-19 kuliko nchi yeyote duniani!
Hii imepelekea mpaka Trump kumgeukia mhasimu wake wa muda mrefu na hivyo hapa tunavyoongea ndege ya Urusi ya kijeshi aina ya AntonovAN124 upo angani...
Wakuu... kwanza poleni kwa hizi Sanitizer kupandishwa bei kiholela!
Mimi ni mzee/baharia wa vitoto vidogo vidogo ( ila ambavyo havipo kisheria/yanii vinamegwa bila risk ya kwenda jera).
Sasa tatizo ambalo nakutana nalo ni hili unakuta unafanya mishe zako mara paap namba ngeni iyo hapo...
Wakuu ukiClick hii link itakupeleka moja kwa moja kwa group la whatsap la WHO ambapo kutokea humo unaeza kupata Updates Na mambo mengine mengi kuhusina CORONAVIRUS
LINK : Link Partager sur WhatsApp
Mimi bado nawaza kuhusiana na huyu mtu wa kwanza kukutwa na coronavirus nchini.
1. Je, wakati yupo Ubelgiji, alifahamu kuwa anaishi na mtu ambaye ana coronavirus, alifaham haya kabla yupo huko?
2. Ni kwanini aliamua kujiweka lockdown hotelini. Je, alijifahamu kama anaweza kuwa navyo?
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.