Recent content by sangmelina

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Wazungu wanazuru sana Kenya na siyo Tanzania!

    Hauna point Una miemko na chuki binafsi na wazungu ( Europe & america
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

    Kwanza acha chuki zisizo za lazima kama unaishi Kwa kutegemea posho ya madaraka imekula kwako. Pili. Tafuta biashara ufanye Ili upunguze njaa zisizo za lazima tatu. wenzako wasiyo na posho za madaraka mbona hawajaja kulalamika je wameshindwa kwenda likizo Mwisho. Kafie mbali huko.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Alichonifanyia huyu mama Ubungo stendi ya mabasi sio uungwana

    Wema wako umekuponza hukutakiwa kukubali huo mzigo Siku nyingine utatelekezewa mtoto inafika mwisho wa safari hakuna wa kumpokea mtoto unabaki na mzigo Acha wafu wazikane mama mtoto afate mtoto wake mwenyewe mwanza kama aliweza kumzaa alishindwa Nini kumfate mwanae mwanza ?.....
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi ndugu zangu

    Mumeo kakuoa wewe sio mdogo wako acha kumpa mwamba mzigo usiomhusu mrudishe Mdogo wako nyumbani kwao.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Being single mother validating high degree of adultery
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tunauza Miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi au matumizi mengine

    Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fedha na mali nimepata, sasa natafuta mke (mchumba)

    Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo Napenda kuwatangazia wasichana wenye uhitaji wa kuolewa kwamba natafuta mke naomba tuwasiliane ili tukikubaliana na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    Nipe bei yake!
Back
Top Bottom