Recent content by sangijamabala

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bajeti ilipokuwa Trilioni 1.1 Wizara ya Afya ilishindwa kuajiri watumishi wapya; sasa ni Bilioni 890 itaajiri vipi 8000?

    Jitahidi kuwa mwelewa kabla ya kupost na uache uongo! Yaweza kuwa huelewi,ajira 8000 zilizotangazwa na serikali ni bajeti ya mwaka 2017/2018 ambayo inaishia juni 30 2018,hizo bil 890+ ni bajeti ya mwaka ujao wa fedha unaoanza julai 01, 2018 hadi juni 30, 2019 ambapo kiasi hicho cha fedha bado...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Sugu alikuwa ni mfungwa wa kisiasa kama alivyokuwa mzee Nelson Mandela?

    Aiseee! swali lako limeenda shule na sidhani kama kuna mtu anayeweza kukujibu kwa sababu humu ndani watu wamejawa na mihemko ya upande mmoja
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

    Uko sahihi kabisa, nakubaliana na wewe.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Mwanza haikuwa duni kama unavyofikiria yaweza kuwa hujui vizuri acha kupotosha watu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Mkuu unaweza kuniambia mwanza imekuwa jiji mwaka gani? hapo ndo utajua kwamba Dar na Mwanza ni majiji ambayo hata Dodoma ifanye vipi hawatofikia labda kwa Mbeya na Tanga au Arusha hao wanaweza kupatwa kwa urahisi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

    Jidanganye brother
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Kura mil 6 zilikuwa za "ukawa"na sio chadema kama unavyofikiria, jiulize tu kwamba chadema walipata kura ngapi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani sasa wagawana majukumu ya uchonganishi

    Akili yako finyu kweli,kama unauhakika na ulivyoviandika si uende mahakamani?pumba kabisa wewe mnajiteka wenyewe mnawapakazia ccm, mfn, mauaji ya akwilina bila maandamano yenu na makengeza wenu mbowe yangetokea? Si mmesababisha wenyewe kuuawa, kuhusu miili ya watu kuokotwa baharini ikiwa kwenye...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani sasa wagawana majukumu ya uchonganishi

    Inajichonganishaje?thibitisha basi sio unaandika tu bila uhalisia
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hoja makini: Hadhi ya CHADEMA itapanda kwa "kuchafua" nchi?

    Wewe utakuwa kipofu,unadiriki kusema nchi imewashinda kwa 50yrs?mbwa koko mkubwa wewe halafu bado unaishi tz kwa nini umeshindwa kuhama uende huko unakoona wameweza?? Endelea kufukiri ukitumia makalio yako!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hoja makini: Hadhi ya CHADEMA itapanda kwa "kuchafua" nchi?

    Wanaomshutumu rais nje ya nchi ni yale mataifa yanayoifadhili chadema au wewe ulikuwa hujui?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hiki ni Kiswahili cha kisasa au?

    Na wewe ni walewale, andika vizuri
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hiki ni Kiswahili cha kisasa au?

    Na wewe ni walewale, badala ya kuandika "mkuu "unaandika "mkuhu" duuu!hovyo kabisa!.
Back
Top Bottom