Je, Rais katumia Kanuni au Sheria ipi kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ikiwa Bunge ndio lenye mamlaka hayo?

Mkuu hapo kuna ukinzani Wa sheria itoshe kusema washauri Wa Rais wamempotosha Mkuu wa Taifa letu kwa kutokuzingatia matakwa ya Kifungu cha 81 cha Sheria ya Mipango Miji kilichohamisha mamlaka ya upangaji kwa mamlaka ya uwakilishi wa wananchi.

Hata aliyedhani mamlaka hayo yametokea kwenye sheria ya 1982 naye hakujipa muda wa kutosha kusoma Kifungu cha 81 cha Sheria ya Mipango Miji ( Na. 8 ya 2007) na schedules zake
Mkuu ninavyo juu kwenye utafsiri wa sheria moja ya princile kuna hizi mbili,

1. A specific law on a specific issue, overrules a general law.

2. A recent law on a similar issue, overrules the old law on the similar issue.

Sasa ukiachana na hiyo namba moja, namba mbili kwenye hii issue inatumika vizuri.
 
Huhitaji kuapply hayo yote kifungu cha 81 cha sheria ya Mipango Miji kilifuta mamlaka ya sheria ya 1982 kuhusu kupandisha hadhi ya miji
 
Mkuu hivi wale madikteta mbali mbali duniani wakiwemo Mugabe, Bokassa na Mobutu maamuzi mbali mbali waliyoyafanya katika nchi zao ambayo hayakuwa na maslahi yoyote kwa Taifa wala kufuata katiba za nchi husika walitumia kanuni au sheria zipi Mkuu!? Kumbuka tuna Bunge uchwara kitengo cha magogoni.
Vipi mbona hukuonekana 26
 
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Dodoma katika maadhimisho ya Sherehe ya miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ameipandisha Manispaa ya Dodoma na kuwa jiji la Dodoma. Aidha Mkurungenzi wa Manispaa hiyo amempandisha na kuwa Mkurungenzi wa jiji la Dodoma

Kwa mujibu wa Sheria na. 8 ya 2007 kifungu cha 5, mamlaka yenye uwezo wa kupandisha hadhi manispaa kuwa jiji ni Bunge

Je, kuna kifungu cha sheria au kanuni inayompa Rais wa Tanzania uwezo wa kufanya Manispaa kuwa Jiji?

Ukitaka nuna ukitaka Cheka.....
Tumethubutu na tumeweza.......
Mambo ni mbele kwa mbele........
IMG-20180426-WA0018.jpg
 
Majiji yetu mengine yamepewa hadhi hiyo bure tu maana ukiyaangalia tu unaona ni shida tupu. Hayana hiyo hadhi kabisa. Hebu chukulia Mbeya kwa mfano. That is just a big slum and not a city.
 
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Dodoma katika maadhimisho ya Sherehe ya miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ameipandisha Manispaa ya Dodoma na kuwa jiji la Dodoma. Aidha Mkurungenzi wa Manispaa hiyo amempandisha na kuwa Mkurungenzi wa jiji la Dodoma

Kwa mujibu wa Sheria na. 8 ya 2007 kifungu cha 5, mamlaka yenye uwezo wa kupandisha hadhi manispaa kuwa jiji ni Bunge

Je, kuna kifungu cha sheria au kanuni inayompa Rais wa Tanzania uwezo wa kufanya Manispaa kuwa Jiji?

Hii ilikua enzi zile, za vipindi vile
Sio kwa enzi za Huyu Jamaa,
Kwa sasa weka hizo katiba sijui sheria kando,
Jamaa ndio kila kitu, bunge lisubiri kwanza.
Pascal Mayalla upo kaka?
 
Kila anapogusa moto. Naona yale maombi ya mtumishi wa MUNGU, Askofu Gwajima yanayosema Rudisha nyota yangu au nyota njoooo yanetua kwa Jpm
 
Katika kujibu hili tutafute kwanza idadi ya watanzania inaongezeka kwa asilimia ngapi kila mwaka.

Pia tutafute hesabu ya waliohamia dodoma tokea 2015 baada ya serikali kutangaza kuhamia dodoma wanaweza kuwa wangapi.

Baada ya kupata hesabu tuijumlishie kwenye hesabu halisi za sensa ya mwaka 2012
Utafute na idadi ya waliokufa kwa muda huo ili tutoe pia
 
Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa Dodoma katika maadhimisho ya Sherehe ya miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ameipandisha Manispaa ya Dodoma na kuwa jiji la Dodoma. Aidha Mkurungenzi wa Manispaa hiyo amempandisha na kuwa Mkurungenzi wa jiji la Dodoma

Kwa mujibu wa Sheria na. 8 ya 2007 kifungu cha 5, mamlaka yenye uwezo wa kupandisha hadhi manispaa kuwa jiji ni Bunge

Je, kuna kifungu cha sheria au kanuni inayompa Rais wa Tanzania uwezo wa kufanya Manispaa kuwa Jiji?

Muulize Mange, usisahau kumwambia a hide IP, sisi tunachojua Dodoma sasa ni Jiji hayo ya kanuni mwambie mange atakusaidia
 
Kwenye muungano walichanganya udongo.. kwa saaa mwenye nchi anachanganya kila kitu... majengo, barabara, vivuko, madaraja, miji, mitaa, msaidizi wake anachanganya mpaka ndoa.... tuwe na subira tutafika
hahaha
 
Back
Top Bottom