A
ACheni kuhalalisha uzinzi na umalaya kwa kigezo, hamskilizani punguzeni tamaa asilimia kubwa wanawake wanatumia pesa nyingi kwenye vitu visivyo wasaidia hata wao wenyewe yaani ufahari wa kiduanzi sana hasa nywele za laki 5 ndio nini?
Stupidy
Nilivo skia kwenye ile taarifa na ikatamkwa ni hospital ya mzena zanzibar nikajua tu huyu alie andika na alie soma mbele ya camera wote wamekosea au wamechanganya taarifa
Anyway POP simame na mzee popote aendapo kutoka hapa duniani
Hakujihusisha na siasa kabisa
Mkuu leo nimeludia kusoma hapa nilipo anzia kubadili maisha yangu hakika kwa sasa mambo sio kama wakati ule nipo mjini dar kwa msaada wa watu kutoka humu maisha sio mbaya sio mbaya napambana na jiji limenipa kipato cha kuishi na kuona nuru kamili
Mbarikiwe sana wanangu
Muhali gani ndugu jamaa na marafiki waume kwa waume, Heshima kwa wakubwa zangu na kwa wadogo zangu me sijambo.
direct kwenye mada
Kama kichwa cha habari hapo juu
kinavyo jieleza watu wote tunao tumia pikipiki kama kifaa cha kutupatia mkate wetu wa kila siku na jua kali la mji huu wa...
Jamani sisis tutulie tu kunawachina wanafuga kuku,nguruwe,wanalima yani kalibu kila kazi ambazo ilibidi tufanye sisi wanafanya wao tena kwa mitaji mikubwa sana kiasi hatuwezi kuwa washindani wao sokoni,
ukienda kariakoo kunawachina wanauza bizaa kwa bei ya china na wapo tz na kuna watu wanatoa...
Kesi kama hii imewai tokea kweye ukoo wangu mwaka 2013
Baada ya baba mkubwa kufariki ukoo ulikubaliana mali za marehemu zibakie na mama(mke)pamoja na watoto wake
Akateuliwa mtu mmjo wa kuwasikiliza kama watakuwa na ishu yaani ni kama muangalizi wa ile familia
Baada ya kama miaka 2 hivi hakuna...
Me pia nimeingi 28 saivi ila hakuna kitu kinanipa stress kama kuingia 30s nikiwa apeche na sina mke wala mtoto wa nje duh
Anyway
Heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa ndugu muandishi
Nipende tu kusema ya kwamba sina neno kabisa kwenye hili maana siasa za taifa langu hata hazifurahishi.
Tujiandae kwa ibada ya kesho
Locatio
PUGU SHULE kalibuni.
JAmani mapendo daima daima mapendo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.