Recent content by Sangalali Shija

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

    Naona ni mwendo wa kupigiana chapuo na kushughulikiana.
  2. S

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Hahahaaaaa! Kuna mtu ameficha sukari Mbagala........tukiikamata tutaigawa bure!
  3. S

    JamiiForums Tanzania TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Ina maana Rais alidanganya kwamba sukari ikikamatwa inagawiwa bure? Halafu wakati inakamatwa ishu haikuwa kibali. Ilikamatwa kwa kosa la kufichwa. Mbona wanataka kutufanya sisi wasahaulifu sana?!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma leo Mei 09, 2016

    Mbona ameuliza tu? Kama huna jibu kukaa kimya ni busara.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Magufuli ya 'Watu Kuishi kama mashetani' inahalalisha maovu

    Miaka 50 CCM imetengeneza watanzania wengi wanaoishi kama mashetani.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Magufuli ya 'Watu Kuishi kama mashetani' inahalalisha maovu

    Unapingana na Rais?
  7. S

    JamiiForums Tanzania TPA yakiri kupungua kwa shehena ya makontena Bandarini

    Kikao cha wadau kimemalizika na kimekuja na mikakati ya kuongeza traffic pale Bandarini. Mojawapo hatua hizo ni kuondoa makubaliano ya "Single Customs Territory" na DRC na kuondoa VAT kwenye huduma zinazotolewa kwenye mizigo inayoenda nje. Hapa unapata jibu kwamba kuna matatizo ya kiufundi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania TPA yakiri kupungua kwa shehena ya makontena Bandarini

    Mbona hata mapato ya Bandarini yamepungua? Kuna vikao vinafanyika kunusuru hali iliyopo. Maana yake hata waliokuwa wanalipia hawapo tena. Au we unatafsirije hali hii?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu Oktoba 25, utaamua Mabadiliko au Kudumaa?

    NI WAKATI WA MABADILIKO, AMUA KWA AJILI YA TAIFA. Zimebaki takribani wiki mbili kabla ya kwenda kwenye sanduku la kura kuamua mwelekeo wa maisha yetu. Tupo kwenye wakati wa fainali ya maamuzi; wakati wa kuhakiki maamuzi yetu na kuyaweka tayari kwa utekelezaji siku ya uchaguzi. Kwa kuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    Kwa uzushi huu ni dhahiri CHADEMA/UKAWA inazidi kuwapa wakati mgumu waliokataa kutii alama za nyakati zinazotangaza kwa sauti kubwa --ni wakati wa mabadiliko. Wanahangaika sana kutimiza lengo lao la kuchelewesha mabadiliko. Hawatafanikiwa, ni wakati wa mabadiliko. Vijana wa CHASO wanaendelea na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Mpaka sasa Slaa hawezi kuwa Waziri Mkuu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania First Lady- 2016

    Kinachofurahisha ni kwamba angalau wengi wanakiri kwamba mwaka huu UKAWA unashinda, kwamba pona ya CCM ni goli la mkono. Sasa tunasema hivi, hakuna cha goli la mkono. Tutalizuia kwa kung'oa lango la goli. Tutashinda!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hii ndio SERA KUBWA ya Magufuli! Kama hujui!

    Hawezi kuibadilisha system. Uhalisia haumpi nafasi hiyo mkuu. Watanzania tunayo kazi moja tu - kukipiga chini 'kitengo'. Habari ya mjini ni CHADEMA na UKAWA.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutangaza rasmi msimamo wake Julai 13, 2015, ACT wajiandaa, CCM kupasuka

    Hatutachagua kiongozi kwa sababu ni wa kabila letu au jirani yetu au mtani wetu. Tutachagua kiongozi kwa sababu ya uwezo wake, dhamira na busara. Magufuli ana maamuzi ya kukurupuka; atatuvurugia nchi yetu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yasipoanzia Ikulu, yataanzia Bungeni

    Baada ya Bunge kuvunjwa hakuna chama kitakachokuwa na wabunge. Vyama vyote vitaanza kutafuta wabunge. Tutapata wabunge wengi na tutashinda nafasi ya urais.
Back
Top Bottom