Recent content by sangaima

  1. sangaima

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: Bachelor Degree in Economics & Trade Age: 28 Education Level: Bachelor Degree Experience: 5 Years in, sales, marketing, Management & Supervision. Skills: - Microsoft Office - Negotiation Skill - Critical Problem solving skills -Project...
  2. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Kiongozi nashukuru sana kwa wazo lako lenye tija mkuu nitalizingatia ili.
  3. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    😂😂😂😂 Sasa ulitaka niweke emoji za kulia kiongozi mchimba chumvi 😂😂😂. Kuna watu wanastahajabisa hii dunia.
  4. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Upo sahihi sana kiongozi na ctually nilifanya hivyo aliniambia kibusara tuu kuwa mchakato wa kumpeleka mtoto wake Germany tuu una include kufungua block account inayo hitaji ku deposit 36M hivyo pesa itakuwa changamoto kwa muda huu na kuwa yeye no government employee kuwa angekuwa ni business...
  5. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Ni kwel kaka pengine upo sio rahisi Lakin kama nilivyojieleza hapo sihitaji charity wala bure, bali ni makubaliano ya kibiashara ya pande mbili zote kunufaika na yenye kulindwa kisheria.
  6. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Asante sana Dr. Kwel kuna watu wanakatisha tamaa but Mungu ni mwema kuna watu kama wew pia wanao nitia moyo hivyo I still have faith and I won't loose hope, once again Thank you very much Doctor.
  7. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Ndugu naamini hujasoma vizur uzi wangu ama pengine umesoma ila hujaelewa Mungu akusaidie kichwa cha wepesi wa kuelewa.
  8. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Asante sana kwa kunitia moyo na maneno yako ya faraja kaka. Mungu akubariki.
  9. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Ni kwel Mkuu na nili rent space kama hiyo pale seed space Tanzanite Park ila ndo changmoto ni mazingira ya shared spacing sio rafiki kwa biashara hii.
  10. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    😂😂😂Popote niliposuasua katika kujieleza tafadhali niulize nikujibu kiongozi.
  11. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    😂😂😂 sitoenda kuponda kokoto zozote zile kiongozi na nitapata breakthrough humu humu kwneye hii forum ndugu yangu ilo ninaamin kwa hakika.
  12. sangaima

    Nina serious clients wanaohitaji huduma kukosa ofisi kumekuwa "red flag" inayonikosesha pesa naombeni msaada wadau

    Kiongozi awali ya yote naomba nikushukuru kwa vote of confidence na kuniamini. Na ili kuithamini imani yako juu yangu na juu ya ninacho fanya mchakato wote na maelezo yote yale naomba nitakuwa na uweka wazi hapa mbele ya hii jumuhiya ya wanajamii Forum wakiwa mashaihidi. Kwa Denmark had last...
Back
Top Bottom