Recent content by Sandinistas

  1. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 yaongezewa Muda tena hadi Aprili 24, 2026

    Hawahangaikii kutokwenda ICC; wanalazimisha kufa na wapinzani wao wakui. Uchunguzi hauwahusu wao bali wapinzani ili kuwaadhibu kabla ya kwenda The Hague!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Ushsuri wake lazimu utaiharibu zaidi nchi kwa sababu chini ya uongozi wake ndiyo nchi hii ilianza kuharabikiwa. Alichaguliwa kwa 80% ya kura zilizotokana na uongozi bora wa awamu ya 3. Baada tu ya miaka 5 ya uongozi wake kura zikashuka hadi 60%! Ndiyo kusema ndani ya miaka 5 wananchi waliufahamu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Polepole utapigiwa simu na kina Mzee Warioba na Butiku wanaweza kuombwa kuongea na wewe ila kamwe usirudi nyuma. Sema tu uliilopanga

    CCM haiwezi tena kuvurugika kwa sababu kwanza haipo! Taasisi inayoweza kuvurugika ni ile iliyopo na kuenesha kwa katiba yake, kanuni na miongozo halali. Chama cha siasa ni katiba, kanuni, vikao na mikutano yenye tija. Ccm haina vikao wala mikutano yenye mijadala na maamuzi huru. Vikao vya ccm...
  4. S

    JamiiForums Tanzania PICHA: Huwezi kuamini ila Peter Madeleka ndiye alikuwa wakili wa huyu mhanga

    Kwa hiyo kazi aliyokuwa akifanya ni kujitengenezea tu mazingira ya kugombea ubunge! Kwa namna ambavyo Chadema inajaribu kujizaa upya, watu aina ya Madeleka hawahitajiki huko. Watu wa aina hiyo ndiyo hao wanaotoka na kuelekea CHAUMMA; watu ambao walikuwa wanatafuta fursa tu. Kwa maoni yangu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hussein Katanga, Katibu Mkuu wa zamani kurejea kivingine

    Kwa taarifa yako Mwamposa ni nabii wa serikali ya ccm. Kazi kubwa anayofanya ni ya kupumbaza watu kwa manufaa ya watawala. Isitoshe Mwamposa tunamfuata wenyewe na tunampelekea fedha zetu. Lakini sasa kuna fedha hazijulikani hata zimetoka wapi lakini zinaonekena zikimnunua kila mtu kwenye nchi...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa CCM hawapo twita ndiyo maana wanataka ifungwe? Twita haina impact ndiyo maana kampeni ya kuifunga imepamba moto?
  7. S

    JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Naviachia Vyombo vya Usalama kuchunguza kama nilihusika kwa namna yoyote kwenye tuhuma za ulawiti zinazomkabili Dkt. Nawanda

    Anasema hivyo kwa sababu anajua hakuna uchunguzi wowote unaoendelea! Mke wa Kaisari hastahili hata kushukiwa kuwa ni msinzi! Kiongozi wa serikali mkubwa kushiriki kuficha jinai ni kosa kubwa sana! Na ikumbukwe kuwa wawili hawa ni ndugu!
  8. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wassira apinga CHADEMA kufanya maandamano. Adai viongozi wa chama hicho wanajua utaratibu

    Nia ovu ilishadhihirika pale miswada yenyewe ilipoandaliwa na kuwasilishwa. Wakati wa mupokea maoni ya wananchi dhamira hiyo ovu iliendelea kushamiri na kuthibitika. Ni kejeli kubwa kupendekeza tume ya uchaguzi ambayo upatikanaji wake unamhudisha rais na wsteule wake! Haiwezekani kuendelea na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kwako Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Umemeliza kila kitu. Watu wenyewe wanaojaribu kujitengenezea personality cult ni weupe kabisa. Matokeo yake wamekabidhi wapambe kuendesha nchi na kuwapigia propaganda za kitoto na kijima!
  10. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kwako Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu

    Mtu anayetaka mapema hii Magufuli aache kusemwa haitakii mema nchi hii. Uharibifu uliofanywa nchi hii na Magufuli kwa kujipendekeza na kujifanya mtetezi wa wanyonge ni mkubwa sana kuliko chochote kizuri alichofanya. Baya kuliko yote ni kuvuruga mifumo yote ya nchi ya kusimamia siasa, uchumi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wanaoliunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT

    Msimamo wa KKKT hauna shida yoyote bali Zitto anasumbuliwa na udini na anaiona serikali iliyoko madarakani ni ya Kiislam. Ameumizwa sana na upinzani dhidi ya mkataba wa bandari na anauona unaongezewa nguvu na madhehebu ya kikristo. Ameumizwa zaidi na waraka wa TEC. Kazi anayofanya sasa ni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kama yawezekana kwa Balozi Mstaafu, basi hata Rais Mstaafu anaweza kuvuliwa hadhi yake

    Kitu kimoja muhimu kitakachofanyika nchi hii mara baada ya kupata uongozi wa wenyenchi ni tume ya ukweli na maridhiano. Matokeo ya kazi ya tume hiyo siyo ajabu kupelekea watu kuvuliwa urais mstaafu! [emoji38][emoji23]
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria vikubwa vya uvunjifu wa amani siku zijazo…

    Wajumbe wa baraza hilo ni nani? Tuanzie hapo kwani inawezekana ni watu ambao wameshiriki kutengeneza hali hii na siyo rahisi kukubali kuwa wamekosea.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Karibu nyumbani Balozi Emmanuel Nchimbi

    Kisha Chongolo akawe balozi nchi gani?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa kwenye Baraza la Mawaziri kisa kuuzwa kwa Bandari

    Kweli, kama ambavyo wananchi wamelipokea Mkataba wa DP World kwa kushtukiziwa, inaelekea vivyo hivyo vikao mbalimbali vya maamuzi ndani ya serikali na hata ccm havikushirikishwa. Kabla ya vikao vya hivi karibuni vya ccm hakuna kiongozi wa chama alishapata kuzungumzia mkataba wa bandari licha ya...
Back
Top Bottom