Pumziko gani la Milele? Nani alikwambia ulifa unapumzika? Mwanadamu ni Roho na sio kiwiliwili. Pumziko ni pale Roho inapopumzika vinginevyo msotp unaendelea tu.
Hehehe! Sasa mpaka Washauri wanakuwa tatizo yeye hajui kama ni tatizo hapo hujagundua kuwa yeye ndo zigo kqbisa? Unadanganywa halafu hujui kama unadanganywa?
Unadhani hajui kuwa watu hawampendi? Anajua sana! Sema kuna timu imempa Assurahce kuwa ukishindwa Uchahuzi umependa mwenye wakati watu wa IT na Polisi wa kutimua wanoko wa kulinda Kura wapo na ni yeye anawalipa.
Mambo ya Uongozi wa Nchi Huitaji Vipanga kichwani. Kwa mambo yanavyoenda imethibitika pasi na shaka kuwa Akili zinazotuongoza kwq sasa zinatosha tu kuongoza Familia na Ukoo.
Hata Machawa Wanaomsifia kwa lengo eti la kumtia nguvu ni kupoteza muda tu. Akili haziji kichwani kwa watu...
Hawawezi kuweka wazi. Natabiri huyo Muwekezaji kujificha kwenye koti la Serikali. Huo ubia watajikuta Serikali.ndio inatoa Mtaji huku hao Maarabu wakichangia mambo ya kijinga.
Mkuu, nadhani tusirahishe hili suala. Uongozi wa Nchi haufulii mbali mila na desturi Mahalia. Tunao mfano hai. Yesu ambaye alikuwa ni Mungu hakujitenga na Mila na Desturi za Kiyahudi ambazo zilikuwa ni Nzuri. Kwa hapa Tanzania, kuanzia Mwalimu Nyerere mpaka marehemu Magufuli wote walikuwa na...
Sasa tunajiuliza Ni nani mkweli kati ya Kinana na Samia? Mama aliwahi kunukuliwa akiwaeleza wanawake wenzie kuwa yeye sio Raisi wa kuchaguliwa bali wa Katiba na hivi inabidi wanawake wampigie kura uchaguzi ujao ili awe Raisi wa kuchaguliwa na hao ndio watakuwa na Furaha ya kweli. Sasa Kinana Ni...
Ndio nilipomsikiliza mtu anayedaiwa eti ndiye mjuzi wa Siasa nikasema kumbe ndiyo maana lichama na Serikali havina maono. Nilitegemea maelezo yake kuhusu hoja ya uraisi wa mama ingalimaliza kabisa mjadala badala yake ndio kwanza ameboronga na kujichanganya.
Huo Ushahidi mbona hujawahi kuutoa hadharani? Ni kama hivyo, basi Mwambie Kinana kuwa mama yenu hakupata kuchaguliwa na sio Raisi kwa mjibu wa Katiba kama anavyodai.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.