Daah! Jaman
Mbona kona nyiiingii
Semeni tu, Chuo Hakikua na Sifa ya kutoa program ya MD so,
Kilifungiwa kudahili kama vilivyofungiwa vyuo vingine visivyokua na ubora.
Mnazunguuka, Mara college, cjui course, faculty Mara Mbeya yoote hayo ya nini?
Simply tu, chuo hakikua na ubora
Vijana mnasikitisha sana,
By the way; nini faida ya mabishano yenu?
Alafu isitoshe mnadanganyana sana, mfano
1- Unaposema mtu amekosa alama za kwenda UDSM unamaanisha nini?
Maana kwasasa qualification zinatolewa na TCU na mm nimeshuhudia, mdogo Wangu kaomba udsm na Udom akiwa na ufaulu wa...
UDSM sio chaguo priority kwa kila mwanafunzi wa kitanzania na hata nje ya nchi,
Pia tambua kua, vyuo vyote nchini ni bora na nisawa: vilivyokua havina ubora vilifungiwa.
Na utakubaliana nami kua ukienda mtaani hakuna atakaejali ulisomea wapi wala ulikaa hostel gani.
Ushauri kwa wana UDOM mnaosoma uzi huu,
Binafsi sijasoma Tz lkn nimehudhuria mijadala na workshops nyingi na vijana wenzangu wa Tz,
Baadhi ni za ndani nyingine nje ya nchi:
Ninachoweza kusema, wahitimu wengi vyuoni Tz hawako vzr ktk fani zao lkn kwa kiasi Fulani baadhi ya fani zimeonekana kua...
Mkuu hakuna mtu wa kuifanyia fitina taasisi nyeti kama KCMC,
Serikali haibahatishi, wana standard zao na research za kuprove ubora wa elimu.
Usilazimishe watu tuelewe kwamba serikali inapendelea vyuo.
Mm nimemuuguza ndugu yangu ktk hospital ya rufaa mbeya ambayo kwa kiasi kikubwa inahudumiwa...
Hii haihusiani ndugu, hakuna aliyelazimishwa kuomba wala ku-confirm ktk chuo au program asiyoipenda,
Hata hivyo serikali hawafungii vyuo kukomoa Bali wanafanya kuboresha zaid vyuo vinavyoonekana kupeleza baadhi ya sifa.
Kuomba UDOM au UDSM ni uamuzi wa mtu na sio wa chuo wala serikali.
UDOM wamefanya usaili assistant na senior lecturers zaid ya 100 kwa lengo la kupata hao 50.
Hata hivyo hao 50 wanakuja kuziba pengo linalotegemewa kulingana na ongezeko na workload,
By the way;
UDOM is a growing university, unadhani itaendelea kukua kwa njia zipi tofauti na inazozifanya...
Ndo ninachokwambia kua haitoathiri chochote kwasababu,
1- Udom wameajiri wahadhiri zaid ya 50 kwa tangazo lao la September,
2- Hakuna program mpya iliyoanzishwa pale had ikose wahadhiri, kilichoongezeka ni idadi tu ya wanafunzi ambao wanafundishwa kwa lecture method,
3- Maendeleo ya taasisi...
Idad ya Udsm haiko official hizo ni za individual tu kupika,
Yawezekana ni kweli au si kweli,
Labda tupe proof,
Kama ndivyo bas ni mliman na vi-branch vyake vyoote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.