Recent content by samyoo

  1. S

    Kwanini Ujenzi wa Ulaya (Ukraine) hawaweki lenta?

    Nyumba za sasa Ulaya vinatengenezwa kwa ngozi mbili yaani ndani kuna matofali ya kawaida inafatiwa na insulation halafu nje yanakuja matofali ya kuchoma. Floor nzima ndio ina kuwa linter ya kuhold nyumba, lakini wewe unakuwa huioni isipokuwa unaona matofali ya kuchoma.
  2. S

    Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

    Magari mazuri ni mjerumani yaani vw Audi na kwa mjapani Toyota na Mazda.
  3. S

    INAUZWA Offer! Ramani na Huduma za ujenzi

    plani mbona iko tafauti na picha ya nyumba
  4. S

    Ujenzi Unaofanywa na Wachina

    Wachina wana kawaida moja. wapo wajuzi na wapo wabangaizaji. wapo wafanya biashara wenye mtaji mzuri, wengine hawana. wapo waaminifu na wapo wezi. inatakiwa kufanya uchunguzi mkubwa kufanya biashara na mchina. karibu bidhaa zote za ulaya zinatengenezwa china. simu .nguo, viatu n.k
Back
Top Bottom