Recent content by samweli mwandelema

  1. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Serikali isiache kuhusishwa na Jaribio Dhidi ya Lissu; Ijisafishe!

    Ipo cku Tanzania itakuwa huru tu.
  2. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Mtetezi wa wakoloni ni yule ambaye anataka siri za mkoloni kutuchapa tusizijue
  3. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyevunja Mkataba wa ESCEL ni rais Magufuli

    Napita tu mie wacha tuone music
  4. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkubwa zaidi ya serikali

    mtaungana kama mnasikilizana cha ajabu hapa nawashangaa wa chama flani wakitoa maoni wanaonekana wanaipinga serkali. mawazo yao yaheshimiwe, lisu ni msaada mkubwa sana wa sheria tulikubali na tukubali kuyatumia mawazo yake
  5. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    lisu ndiye mzalendo bila yeye uovu mwingine tusingekuwa tunaujua hivi mwizi na anayetuonyesha mwizi yupi mzalendo. endelea lissu wenye akili wametambua
  6. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    Nakushangaa sana bwana mpendezoe kwani Lissu alikataa ununuzi wa ndege je? kuhusu ndege yeye ametoa taarifa kwamba imekamatwa kwa ajili ya deni mtwambie kama yeye kaizuia. hebu tuache kuingiza suala la siasa kwenye mambo ya ukweli wote sie ni wana ccm lakini tusiwe mbumbu penye uwazi. kuna...
  7. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania USAHIHI: Kilichotokea kati ya Juliana Shonza na Wabunge wa Upinzani kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma

    Una unatuabisha watu wa mbozi ulipelekwa kwa ajili ya umbea bungeni? hatukuhitaji
  8. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Tundu Lissu ateuliwe naibu Waziri wa Katiba na Sheria

    Huyo mzee nae si alikuwemo kwenye sheria zilizotufikisha hapa, mbona amekiri sheria zetu mbovu namkubali jpm yeye afuate ushauri wa lisu kufumua sheria zote za madini. kama alivyosema lisu.
  9. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

    Lisu hajawahi kutetea accacia wewe ndo humwelewi lissu
  10. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Nilitegemea mawakili wakubwa na wasomi kama Lissu wajitokeze na kuanza kuwashitaki ACACIA

    Tatizo ni wabunge wa kushangilia tuu na sheria mbovu walizotuwekea mbona lissu kawaambia cku nyingi walikuwa hawaoni leo ndo wanajifanya wanashituka
  11. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Joseph Musukuma asema ana majina ya wabunge wa upinzani waliohongwa kuitetea ACACIA

    Hivi nadhani unachokimaanisha hukijui kwani mikataba aliyesaini chadema au ccm? chadema wana waziri wa nishati ushabiki uso namaana hautakiwi
  12. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ali Kessy: Waliohusika kusaini Mikataba ya Uchimbaji madini Tangu 1998 wanyongwe

    Wabunge wetu wa Tanzania ni wa ajabu sana kwani kupitisha sheria wengi wao walikuwemo leo raisi ameshitukia hiyo ishu wanajifanya wanatetea rasilimali zetu wakati haohao hasa wabunge wa ccm walikuwa wakishauriwa wanaona wenzao wajinga wao ndiyo wawe wkanza kunyongwa
  13. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Alikuwa wapi cku zote kukerwa kuibiwa mchanga au ndiyo bendera fuata upepo. haohao ndiyo walipitisha bajeti/mikataba ya kuibiwa leo unamsifia kwa lipi?
  14. samweli mwandelema

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa

    mwakyembe ni kati ya waganga njaaaaa, tena aone aibu kwa watu wanaojielewa. si kichama, kama alikuwa na ushahidi mbona mahakama ya mafsadi amempeleka
Back
Top Bottom