Mwakyembe: Joshua Nassari akamatwa akiwa anataka kuingia bungeni na Chupa ya kilevi akiwa amelewa

Huwa najisikia vibaya sana kuona viongozi ambao nawaona kabisa ni wasomi na wanatoka mbeya kama Mimi nasononeka sana huyu mwakyembe na tulia vipi ndugu zangu mnaniangusha mbeya haiko kama mlivyo nyinyi jilekebisheni
 
wapinzani haitatokea washinde uchaguzi hata siku moja maana ni wajinga sana na ujinga wao umepitiliza!!
hebu fikiria kutoka kuwa fisadi mpaka mgombea,jk kuchokwa mpaka kumisiwa,kuhitaji rais dikiteta mpaka dikteta uchwara!!
yaani ukweli wapinzani ni wajinga sana
 
Mwakyembe na tulia muangalieni aliye watangulia mtu kutoka mby mwandosya nahisi hakuna anacho jutia mpaka leo fanyeni mambo yatokayo moyoni mwenu yatokayo akilini mwenu
 
Kama Nasari amefanya hivi ninakuwa nawaza sana kuhusu mbowe lissu lema na yule teja wao Wema
 
Pombe si nzuri hasa ukiwa kazini, hili suala la pombe mtu kanywa na anakuja kujadili mustakbari wa maisha yetu kwa kweli lipigwe marufuku kwa nguvu zote.
 
Gullam Bhai aliyeibua hoja ni Nassari, kuwa Lowasa Alionewa, basi alete ushahidi na suala la Richmond lifuatiliwe kwa umakini na asiye na dhambi asafishwe na alipwe fidia ya kuharibiwa Jina.

Mwakembe amezungumza kwa kujiamini, NA vyama vya upinzani viliunga mkono ripoti ya mkwembe NA kwa kujiamini waliiweka kwenye tovuti Yao NA kumtaja Lowasa kama Fisadi No 1. Sasa kipi kilichobadilika, yaani imewachukua miaka 7 kujua alionewa???
mwakyembe ni kati ya waganga njaaaaa, tena aone aibu kwa watu wanaojielewa. si kichama, kama alikuwa na ushahidi mbona mahakama ya mafsadi amempeleka
 
Amekipinga soma Mwanachi ya leo,amekuwa interviewed na mwandishi wa habari hiyo.Hivyo pamoja na taarifa ya Msigwa nimesoma na kanusho la Nasari mwenyewe.

Na kama taarifa ya MSIGWA ilipokelewa itakuwa imekanushwa pia upo!Hivi unaingiaje ndani ya Bunge na kilevi ??Unajua namna wanavyofanya searching pale mlangoni??Huingii hata na maji sembuse chupa ya Konyagi??Mbona akili ndogo tu unajua Mwakyembe ni muongo?
Usilete maneno ya kijiweni.
Nassri kazuiwa na wanausalama kuingia na Konyagi Bungeni.
Thats an official record.
 
*kwa anaehitaji t_shirt za CCM kwa bei poa anicheck inbox 0761741574*

*T_shirt hizo kwa nyuma zimeandikwa ushindi 2020 lazima*
 
Gullam Bhai aliyeibua hoja ni Nassari, kuwa Lowasa Alionewa, basi alete ushahidi na suala la Richmond lifuatiliwe kwa umakini na asiye na dhambi asafishwe na alipwe fidia ya kuharibiwa Jina.

Mwakembe amezungumza kwa kujiamini, NA vyama vya upinzani viliunga mkono ripoti ya mkwembe NA kwa kujiamini waliiweka kwenye tovuti Yao NA kumtaja Lowasa kama Fisadi No 1. Sasa kipi kilichobadilika, yaani imewachukua miaka 7 kujua alionewa???
Mkuu upinzani unaishi kwa matukio,sio ndio hao waliokuwa wanapiga makofi bungeni kuwa lazima Bunge limchukulie hatua mheshimiwa na mheshimiwa baada ya kupima upepo akaona isiwe taabu mwenyewe akaachia ngazi,na miaka yote hatukusikia ujinga anaoleta mtoto Nasari,au Nasari anajikomba kwa baba mkwe ili jimbo lake asije akalichukua aliye kuwa mbaya wake,ambaye leo hii anajifanya kusema alionewa.
 
Kwanini anadhani kwamba lazima hiyo kazi afanye yeye! Kwenye utafiti yeye hawezi kuchunguza hiyo tena!!
 
yeye amesema kuna ushaidi aliubakiza ambao uko kwenye report hivo atauweka hadharani.
 
Gullam Bhai aliyeibua hoja ni Nassari, kuwa Lowasa Alionewa, basi alete ushahidi na suala la Richmond lifuatiliwe kwa umakini na asiye na dhambi asafishwe na alipwe fidia ya kuharibiwa Jina.

Mwakembe amezungumza kwa kujiamini, NA vyama vya upinzani viliunga mkono ripoti ya mkwembe NA kwa kujiamini waliiweka kwenye tovuti Yao NA kumtaja Lowasa kama Fisadi No 1. Sasa kipi kilichobadilika, yaani imewachukua miaka 7 kujua alionewa???
Kaka, ebu kuwa sober at least once. Jiulize kama Richmond ni kampuni ya kitapeli, kwanini serikali bado inaendelea kuilipa kwa mgongo wa Symbion? Richmond ilinunuliwa na kuwa Dowans. Nayo ikauzwa, ndiyo ikaja Symbion.
 
Hana lolote Mwakyembe ni njaa tu inamsumbua. Hapo ajibu hoja aache kulalama, eti ibueni tena hoja ya Richmond, kwani yeye hawezi kuibua? Mtaibuaje wakati hela mshawalipa akina PAP aache kutishia watu nyau.
g
Nikijaribu kuangalia comment yako kwa kweli wewe unaonekana ni mshabiki tuu huongelei hoja. Sasa badala yakujibu hoja alizotoa unaanza kuleta maswalu yako ambayo hayana shida. Usiwe mshabiki wa mambo yasiyo yamsingi. FIKIRI.FIKIRI.FIKIRI
 
Back
Top Bottom