Recent content by samwelema

  1. S

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Nimejaribu kulima matikiti maji msimu wa masika lakini sikupata vile nilivyotarajia kutokana na mvua kuwa nyingi sana japo pia sikupata hasara kwa gharama nilizotumia. nilitumia Hyríd Sugar Queen F1 kama mbegu lakini changamoto ilikuwa ni size ya matunda kutoridhisha. Ktk comments za wateja...
  2. S

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Natafuta connection ya wapi ntapata mbegu nzuri ya viazi mviringo mkoa wa mbeya, na gharama yake bila kusahau kadirio la kiasi cha mbegu za kuenea eneo la ekari 1. Wasalaam
Back
Top Bottom