nadhani hapo wazo liwe kuweka hiyo 1000 kwa ajili ya malengo ya baadae kwa familia... ila sio wewe kujikwamua kwa umasikini. nilichokuelewa hapo ni kwamba niweke akiba kwa miaka 60 wakati hata life span ya mtanzania haifiki miaka 50
........ .. kipato chako chenyewe ni 1000 kwa siku, then ukaiweke 1000 hiyo hiyo katika mfuko wa akiba .. pia kila siku utahitaji si chini ya 1500 kama gharama za usafiri kupeleka hiyo pesa kwenye huo mfuko, pia utahitaji zaidi ya masaa matatu hadi manne kwa siku ili kuifikisha hiyo 1000...
""WARREN BUFFRET""
.. ON TAKING RISK: Never test the depth of river with both feet
...ON INVESTMENT : DO not put all eggs in one basket
.. ON EARNINGS : NEVER DEPEND ON SINGLE INCOME , CREATE INVESTMENT TO MAKE ANOTHER SOURCE (USIACHE KAZI KWANZA ILA ONGEZA CHANZO KINGINE CHA KIPATO)
Kk ni unga tu mnazalisha?hamna mazao mengine kma mchele ili tufanye biashara me nina masoko kabsa namaanisha store
store sio soko... anyway mm ninafanya biashara ya mchele toka mbeya... huwa ninauza katika style ya kupark na kusuply katika supermarkets ndogo na za kati hapa dar, sasa hivi ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.