Mapenzi yaliyokuwa yanafanyika katika mahekalu kwa usimamizi wa Malaika binadamu gani hao waliokuwa wanafanya hayo Mapenzi ikiwa binadamu wa kwanza kabisa alikatazwa kufanya hiyo unayodai ni organism?
Kama hayo maelezo yametolewa ktk Biblia basi hata majibu au usahihisho wake lazima utoke kwenye Biblia.
Mambo ya kutoa mada kwa msaada wa Google hayahitajiki hapo. Ni mwendo wa Aya na mafungu ya Biblia.
Bro, soma Biblia vizur. Tunda lililoongelewa ni tunda halisi na siyo kumwaga shahawa.
Soma Mwanzo 1:28. Mungu aliwaambia Adam na Eva wazae wakaongezeke kabla hata hawajala hilo tunda. Kwahyo Mungu aliruhusu kumwaga shahawa kabla ya tukio la kula tunda kwa7bu hakuna kuzaa pasipo shahawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.