Recent content by samwel phanuel

  1. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Ivi malipo ya ulinzi ni kwakila kaya au kwakila chumba maana huku wanacharge kila chumba
  2. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Nakushukuru nitalifanyia kazi maana hata izo vurugu wanazifanya na mwenyekiti wa mtaa apo ndio umenipa wazo jipya ni kuwawajibisha kwakweli wako mbele kudai pesa lakini wanavurugu hatar
  3. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Hahhahahah kamba ya karibu kufika town turudi kwenye hoja ya sungusungu aseeh
  4. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Kwani vingunguti iko mbali na kariakoo na posta mzee kwa miguu tu nafika posta je kwa ukaribu huu naweza kusema ni sawa na umbali wa gongolamboto ? Au mbezi? Ebu turudi kwenye mada ya msingi ya sungu sungu nitashukuru kwa mawazo yako kuhusu topic ya sungu sungu
  5. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Hao hao wanaofanya kazi na ofisi ya watendaji wa mitaa
  6. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Niko Daresalam Tanzania vingunguti katikati kabisa ya jiji la Daresalam jana wamekuja usiku saa 8 usiku uku wakiparza mapanga ukutani na kugonga kwa fujo dirishani mwangu uku wakipiga kelele amken amken kunaibiwa uku nyumba nzima tukatoka tukajua kunamwizi kakamatwa kumbe ni mwenyekiti...
  7. samwel phanuel

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi

    Naomba kufaham mambo kadhaa kuhusu ulinzi shirikishi wanaosimama kama walinzi wa msaada jamii 1) Hawa walinzi shirikishi wanareport kwa nani je? Kwenye jeshi la polisi ngazi ya kituo cha polisi au Ofisi yq uhamiaji ? 2)Uhalali wa utendaji kazi wao na jinsi wanavyopatikana hadi kuingia kufanya...
  8. samwel phanuel

    Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    🤩🤩🤣😆😅😂Ayaaah mzee Sina usemi Apo
  9. samwel phanuel

    Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    Haina tabu kabisa kila mtazamo wa mtu ni sahihi kwake vile aonavyo maana mtimilizaji ni yeye mwenyewe na anayeyaishi ayo maisha no yeye mwenyewe so nisawa kabisa kiongozi
  10. samwel phanuel

    Kwanini 90% hawafaidi hatua ya ujana?

    Ujana : nihatua ya ukuaji anayoipitia mtu baada ya kumaliza hatua ya utoto ili kuelekea utuuzima na uzeeni na hii hatua hutakiwa kuwa Makini na mtulivu wa fikra pamoja na akili nyingi kuliko hatua nyingine yoyote, na hii ndio hatua pekee ya utambulisho halisi wa mtu kifikra, kiutendaji na hata...
  11. samwel phanuel

    Umejiandaaje pale Familia yako itakapokutenga?

    Nikweli nipo Dunia tofauti Sana Tena kwa asilimia 100 mzee kwa sababu zifuatazo 1) kimtazamo wa kutegemeana Mimi naamini maisha ya yakwangu Mimi Kama mwanaume lazima niyapange na kuyasimamia yatimie kwa nguvu zangu zote ikiwemo kuhakikisha familia yangu inapata mahitaji yake yote na kufanya...
  12. samwel phanuel

    Umejiandaaje pale Familia yako itakapokutenga?

    Unaweza kumfikiria kuhusu pesa zinaweza kukupa furaha lakini pesa siokitu katika kuitafuta furaha ya mtu kikubwa ni kuridhika na uhalisia uliopo na endapo ikatokea umezeeka Basi jitahidi utilize presha za kuwaza umezeeka Hali hauna pesa waza ni kwa namna gani utamalizia maisha yako ya uzee...
  13. samwel phanuel

    Umejiandaaje pale Familia yako itakapokutenga?

    Mwandishi umejitahidi kutoa mawazo yako katika swala litakalokufanya na wewe unikumbuke text yako ulioichapisha kipindi hicho kikifika Kuhusu "kujipanga kutengwa na familia yako" hili ni Jambo la kifikra zaidi na Uhuru wa akili Sana Sana maana kila kiumbe kinatengwa au kujitenga chenyewe...
  14. samwel phanuel

    Kwani, watu wa mitandaoni siyo Watanzania? Rais Samia amejiongoza vibaya!

    Daah hongera Sana kwa mtazamo wako Mpana ila naomba tu nikufungulie ukurasa mpya huenda utakupa kuelewa siasa inanguvu kiasigani katika Dunia na maisha ya mwanadam Jambo la katiba mpya nizuri na nilamsingi ili kutoa muelekeo mpya kwa Taifa jinsi litakavyojiendesha kuendana na mabadiliko ya...
  15. samwel phanuel

    Tathmini: Uongozi wa Rais Samia Suluhu ndani ya mwaka mmoja

    Umechambua kwelikweli ndugu ... Ila ukweli utabaki pale pale kila kiongozi atakaye pata nafasi ya kuongoza Taifa kwa ngazi ya Rais Mimi na wananchi jukumu letu kubwa ni kuniombea na kuwaelimisha wananchi wenzetu dhana kamili ya uongozi na wajibu wa serikali kwa wananchi wake pamoja na...
Back
Top Bottom