Mmmmmmmh humu ndani tatizo Kila mtu anajua hv matusi ya nn mtu anapotoa hoja si tuipinge kwa hoja pia.,,"!nimegundua watu wote wanaotukana na kupinga kila hoja inayotolewa hawaishi hapa nchi wengi wao ndiyo washambuliaji wakubwa,na ndiyo walikuwa wapiga deal ndo maana kila jambo wanapinga tu.mtt...
mmmmmmmmh binadamu bhana tuna mambo daaaaaah tututawakataa na wazazi wetu pia tunakoelekea ama kumwamuru mmoja hasitoe huduma kwakuwa kamtaja mtu fulani .
Tz tulizoea ya ajabu ajabu hapo nyuma na tukaishi hivyo kwa muda mrefu sasa muda umefika tunaona tunaonewa,na kukimbilia kwa wananchi kushitaki kwa maneno ya hapa na pale ili tuungwe mkono ebu turudi nyuma tujipange upya tufanye siasa .ni mawazo yangu tu
Ninachoshangaa ni pale walipokuwa wanasema Bunge ni muhimili unaojitegemea lakini wanautukana tena sasa sisi wananchi tutafanyaje tena mbele ya wanafunzi matusi yanatoka .Ebu wanasheria tusaidieni ukitukana hadharani sheria inasemaje//?
Kwa kweli matusi si tabia nzuri ata Kama umekosewa hasa kwa mzima aliyekuzidi umri na ni kiongozi wako ,hiki ni kipimo pia cha kujua tuna viongozi wa aina hapo baadae,Tukumbuke jambo moja mtoto anayelelewa na mama wa kambo hata umjali vp Siku zote anaona anaonewa tu.Ni mawazo yangu nionavyo mm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.