CHADEMA ni vigeugeu leo hii spika kawa mbaya?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Kwa wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka kuhusu harakati za CHADEMA kutaka kumuondoa Naibu spika kwa kisingizio cha kuminya demokrasia na hapa walimsifu sana spika Ndugai na hata aliporejea kutoja Ughaibunu walimpigia makofi, leo hii baada ya spika kuwabana ameshageuziwa kibao na kuonekana hafai.

Sasa sijui mtamsusia tena?
 
hata nisipochukua nitaendelea kuwakumbushia unafiki wa chadema siku zote....hivi ufipa mnaishije bila viroba?
tapatalk_1491228674263.jpeg
 
Kwa wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka kuhusu harakati za CHADEMA kutaka kumuondoa Naibu spika kwa kisingizio cha kuminya demokrasia na hapa walimsifu sana spika Ndugai na hata aliporejea kutoja Ughaibunu walimpigia makofi, leo hii baada ya spika kuwabana ameshageuziwa kibao na kuonekana hafai.

Sasa sijui mtamsusia tena?

Kumpenda au kumuamini Kiongozi hakumfanyi akaharibu na tuendelee kumsifia.Amekosea anahitaji kuelekezwa.

Ndugai amejidhalilisha anahitaji kujitathmini aone kama alitoyatenda kama Kiongozi Ni sahihi na ajirekebishe.
 
Kwa wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka kuhusu harakati za CHADEMA kutaka kumuondoa Naibu spika kwa kisingizio cha kuminya demokrasia na hapa walimsifu sana spika Ndugai na hata aliporejea kutoja Ughaibunu walimpigia makofi, leo hii baada ya spika kuwabana ameshageuziwa kibao na kuonekana hafai.

Sasa sijui mtamsusia tena?

CHADEMA sio vigeugeu tu, bali pia ni wanafiki na wazandiki wakubwa.
 
Hujui nini Maana na kazi ya upinzani bungeni...we vipi??kamuilize Mwl wako wa civics secondary
 
Kwa wenye kumbukumbu nzuri watakumbuka kuhusu harakati za CHADEMA kutaka kumuondoa Naibu spika kwa kisingizio cha kuminya demokrasia na hapa walimsifu sana spika Ndugai na hata aliporejea kutoja Ughaibunu walimpigia makofi, leo hii baada ya spika kuwabana ameshageuziwa kibao na kuonekana hafai.

Sasa sijui mtamsusia tena?

Kwa kweli matusi si tabia nzuri ata Kama umekosewa hasa kwa mzima aliyekuzidi umri na ni kiongozi wako ,hiki ni kipimo pia cha kujua tuna viongozi wa aina hapo baadae,Tukumbuke jambo moja mtoto anayelelewa na mama wa kambo hata umjali vp Siku zote anaona anaonewa tu.Ni mawazo yangu nionavyo mm.
 
Hii Sacco's ni Noma
Hiki ni kikundi cha kukopeshana kwenye shida na raha. Mh. Ndugai aliwabeba, kumbe hawabebeki. Ila wakumbuke tu pale bungeni kutokana na idadi yao bila kubebwa hakuna agenda yao hata moja itapita. Sijui kama wanalielewa hilo.
 
Back
Top Bottom