Recent content by Samwel malisa

  1. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo katika nyanja mbalimbali

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kumpongeza Mh Raisi Mama Samia pamoja na viongozi wote wanaopambana usiku na mchana kwa kuhakikisha Taifa hili linajengeka vyema nakuwa imara kila leo, uku tukidumisha amani aliyo tujengea Baba wa taifa Hayati Mwl Nyerere, hivyo basi yatupasa ya sisi wananchi...
  2. S

    Nini hukufanya ununue Dawa na kujitibu mwenyewe pasipo kwenda Hospitali kwanza kufanya Vipimo?

    Hospitali zinatuumiza sana mi kuna hospital moja nilienda kupata huduma ilipo fika kwenye dirisha la dawa nikamba risit zile dawa kwenda kuulizia pharmacy dawa ya maji wamenuuzia 8000 duka LA dawa 3000 vidonge 9000 dukani 4500 nilipochoka zaid dawa ya maumivu imeuziwa 3000 dukan 500 na ukienda...
  3. S

    SoC03 Kilimo cha umwagiliaji Tanzania

    Tanzania ni nchi ambayo imebarikiwa vyanzo vingi vya maji na ardhi kubwa na yenye rutuba Kutokana na ufinyu wa ajira juu ya vijana wetu waliomaliza vyuo na kubaki majumbani wakisubiri ajira, serikali kupitia wizara yake ya kilimo ingetumia nguvu kubwa juu ya vijana kujikita katika kilimo cha...
Back
Top Bottom