Recent content by SAMWEL MAKULA

  1. SAMWEL MAKULA

    Nafasi ya kufundisha masomo ya Kiswahili na Kiingereza mkoani Mwanza

    Nilimcheki hakurepond ndo maana nimerudi huku
  2. SAMWEL MAKULA

    Nafasi ya kufundisha masomo ya Kiswahili na Kiingereza mkoani Mwanza

    Habari yako ndugu,, majukumu yanasemaje aisee ulisema nikuchek pm
  3. SAMWEL MAKULA

    Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

    Bora kiswahili kingetumika hapa kuelezea maudhui yako maana umetisha.
  4. SAMWEL MAKULA

    Ushauri Kwa Watafuta Ajira.

    Mhh mi naona hata kukomoana nako ni kwingi maana kutojua kuandika CV kunategemea yaweza kuwa kafundishwa hivi we unataka aandike kama unavojua, pia wasaili wengi wanatumia uhaba wa ajira kama fimbo ya kuwachapia watafuta kazi na kuonekana kama ni watu wasiojielewa, mi nilienda ofisi fulani HR...
  5. SAMWEL MAKULA

    Nafasi ya kufundisha masomo ya Kiswahili na Kiingereza mkoani Mwanza

    Nimehitimu shahada ya ualimu Bachelor of education in ECE, naweza kufundisha kuanzia Nursery, primary, O&A level popote. Hivyo naomba kwa aliye na taarifa za kuhitajika tusaidiane. Pia kazi yoyote halali naweza kufanya naomba tushikane mkono ili kufanikisha malengo sisi kaka watoto wa baba...
  6. SAMWEL MAKULA

    BA Anthropology UDSM inahusu nini?

    Yaani inasikitisha sana kuomba kusoma kozi huijui maana yake unaenda kwa kupelekwa na mtandao, kwa ufupi kasome hizo historia ndo utaelewa soko lake lipoje.
  7. SAMWEL MAKULA

    Msaada majina ya form five waliofanikiwa kubadilishiwa shule

    Jina MBOLIGA JAMES aliomba kupelekwa Nsumba boys kutoka Pamoja Sec Ruvuma naomba msaada niangalizie
Back
Top Bottom