|¦| Hoja Kwa Facts Siyo Mihemko
By Magoiga S.N-Mwanza
Nimewahi kusema DAWA YA WAPOTOSHAJI NI KUWAVUA NGUO ZINAZOWAFANYA WASIJULIKANE KUWA WANAPOTOSHA. Piki nimewahi kusema tatizo kubwa la vijana wa Ukawa katika hii mitandao ya kijamii ni kwamba wanapenda ku-comment Lakini hawapendi kusoma na...
Magoiga S.N-Mwanza
Ilianza kama mchezo, yaani kama hadithi vile ila mwisho wake kila mtu anaanza kujua mbivu na mbichi. CCM itakufa Mwaka 2020 kwa sababu nyingi sana baadhi yake ni hizi
i) Sauti za upinzani zilisikika zikisema kuwa kwa kumpa Fisadi Lowassa Urais, CCM inakufa mwaka huu wa...
NAPE Usiishie Kwenye CD Feki Pekee|¦| Je Unajua 'Local Channels' Hazionekani StarTimes??
Magoiga S.N-Mwanza
Kwanza nikupongeze kwa kutangaza vita dhidi ya maharamia wa kazi za wasanii wetu. Ni kweli hili limewafanya wasanii wetu kuwa maskini huku watu flani flani wakitajirika kupindukia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.