Recent content by Samwel J Nyangi

  1. Samwel J Nyangi

    Namna ya kuweza kuishi DAR; Ishi kibepari

    Sahihi kabisa. Ila katika yote usimuache Mungu wako.
  2. Samwel J Nyangi

    Hakika Mungu akishakupangia hakuna wa kupangua! Hongera Jakaya Kikwete

    Unataka uone Future gani Kwa Mtu aliyekuwa Rais wa Nchi. Ww ndio unatakiwa kupambania Future yako.
  3. Samwel J Nyangi

    Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

    Kwa hiyo ulitaka Lugola aachwe.. Kama Waziri mzembe lazima awajibishwe. Akiachwa shida! Bro shida nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Samwel J Nyangi

    Upinzani umekuwa kibogoyo. Hauna meno ya kuny'ata wala kutafuna

    Binafsi nafuatilia sana mambo ya wapinzani. Ila naona wameisha poteza dira kabisa. Hawazungumzii maslahi ya nchi kwa sasa, Hawazungumzii uchumi wa nchi, Hawazungumzii matatizo yanayokabili jamii yani wapo wapo tu. Haya wamesusia Uchaguzi bila kuwa na strategies, wameua ndoto za vijana...
  5. Samwel J Nyangi

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Ndugu watanzania wenzangu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, awali ya yote namshukuru sana Mungu mwingi wa rehema na huruma kwetu sisi viumbe wake. Pia niwashukuru sana watanzania kwa heshima kubwa mliyonipatia mimi na Familia yangu, heshima ya kuwa Kiongozi wa hili Taifa ambalo Mungu...
  6. Samwel J Nyangi

    Maneno yako ya leo ndio hukumu yako ya kesho

    Siko sirari Bro. Labda umechanganya mafaili. Jitambulishe nikufaham.
  7. Samwel J Nyangi

    Maneno yako ya leo ndio hukumu yako ya kesho

    Nijuavyo mimi serikali ina viongozi mbalimbali wakiwemo wenye elimu kubwa na ndogo. Mfano kuna wakuu wa mikoa, wabunge, wenyeviti wa kamati, wakuu wa wilaya wenye elimu ya chini lakini ndio washauri wakuu wanaomsaidia Mheshimiwa Rais kuiongoza nchi. Je nao hawana akili ya kumshauri Rais kutokana...
  8. Samwel J Nyangi

    Mwita Waitara: Waliogombea wamegombea wao, vyama havina umuhimu wowote kwenye uchaguzi huu

    Nadhani tusichafue CV za watu kwa personal Interest zetu mihemko na hisia . Umemsikiliza wapi na umepima kwa kutumia nini ukajua amelewa? Tupe hiyo Link na evidance ya unachokisema. Otherwise tunaamua kukupuuza tu. Tabutupu,
  9. Samwel J Nyangi

    Rais Magufuli, nakuomba sana mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ufutwe na uanze upya

    Ni sahihi nafaham hilo lakini Uchaguzi hauwezi kufanyika bila Tume ya Uchaguzi kushauri mana wana wataalam na uzoefu pia.
  10. Samwel J Nyangi

    Rais Magufuli, nakuomba sana mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ufutwe na uanze upya

    Hatumbebeshi mzigo kama kiongozi aliyebeba maono ya Taifa na kiongozi mkuu akiona mambo hayaendi sawa ni wajibu kuyasimamia na kuyaweka sawa. Au unashauri ayasimamie nani?
  11. Samwel J Nyangi

    Rais Magufuli, nakuomba sana mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ufutwe na uanze upya

    Mh Rais najua kupitia wasaidizi wako ujumbe wangu utaupata, ningekuwa na nafasi ningekushauri moja kwa moja. Nakuomba kama mzazi wangu, Rais wangu unisikilize tafadhali. Duniani kote Nchi huchafuka kwa mambo mkuu 4. Ukabila, Udini, Ubaguzi wa Rangi na Machafuko ya kisiasa. Kwa miaka mingi Nchi...
  12. Samwel J Nyangi

    CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Tusifurahie sana Vyama vya upinzani kujiengua kwenye Uchaguzi. Hii ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Narudia tena ni stage mbaya sana kwenye Nchi. Wazee wenye Busara lisaidieni Taifa.
  13. Samwel J Nyangi

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Ndugu zangu, watanzania wenzangu, waleta maendeleo wenzangu, wapambanaji wenzangu. Bwana Yesu asifiwe, Aswala mwaleku, tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu asifiwe. Ni matumaini yangu mnaendeleaje vyema, ila Kwa wagonjwa Mungu awaponye. Leo nawakumbusha jambo moja tu. Tuiombee sana Nchi yetu...
  14. Samwel J Nyangi

    Mr President tuna nyakati ngumu sana ya vita ya uchumi

    Kaka kujiuma uma wapi? coz kama unaelewa, economic espionage inaendana na mambo mengi ikiwemo linkage ya National secrety information.
Back
Top Bottom