Recent content by samvande2002

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

  2. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

    angekuwa mama yako au dada yako kafanyiwa hivo ungesema ni kiki? au unaandika tu kujifurahisha.. ifikie wakati watu wafanye kazi zao kwa weledi sio manual.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

    tulia, watu inabidi waelewe kuna sheria sio wanafanya tu wanavyotaka..sheria zipo.wanatakiwa kufuata sheria..sio sifa sifa tu zisizo na maana yoyote
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa sijaona cha kumpongeza Magufuli

    hahahahaha
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kipindupindu chatikisa Rukwa; Mmoja afariki, 20 walazwa

    hii habari sio nzuri kabisa, wananchi inabidi waelimishwe kuhusu usafi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    hivi kuna walimu wanaoweza kufanya hivi bado hapa nchini?? au umeandika tu kujifurahisha mkuu?? hiyo shule ni private au government?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    waacheni watoto wavute bangi,hamtakiwi kuwagusa; mnatakiwa mtumie saikologia mliofundishwa chuoni kuwafundisha watoto kuacha bangi..nyie walimu vipi?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa kike wakutwa wakivuta bangi na viroba, walimu wapeleka kwenye mitandao

    waacheni watoto wavute bangi, mnatakiwa mtumie saikologia mliofundishwa chuoni kuwafundisha watoto kuacha bangi..nyie walimu vipi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio mengine nchini?

    kuna ulimbukeni wa watu katika kushabikia vitu tu bila kufikiria fresh
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio mengine nchini?

    hawa ndio wale ma oya oya...hawafikiriii; wao ni oya oya tuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hili la walimu ni kubwa kuliko matukio mengine nchini?

    kaka inaonekana huelewi unachosema kabisa... umenishangaza sana..
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea Walimu wataacha kuhangaika na mtoto wa mtu

    kazi kweli kweli...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea Walimu wataacha kuhangaika na mtoto wa mtu

    which is very sad!
Back
Top Bottom