Recent content by samuel mwankemwa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Acer yangu inagoma kuwaka

    Nina laptop acer ilianza kama utani, kutokuingiza chaji ikafikia hatua ikazima, nimebadilisha chaji lakini hollah! Nifanyeje?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hsdpa universal modem

    Habar Zenyu, nina acer notebook, ilianza kama utani first day iligoma kuingiza charge, the second day ikazima after two days ikawaka nkaitumia 4 2 days ikazima! ndiyo jumla mpaka leo, nimebadilisha chaji lkn bado kimya! help me pliz jamani
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada laptop inanizingua kuwaka please nifanyeje????

    aina gani hiyo? usijari kuhusu vitu vyako hivyo utavipata tu, sema laptp dell acer toshiba au?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je nawezaje kutofautisha Laptop FAKE na ORIGINAL??

    wats up JF, Nina laptop yangu ACER ilianza kama utani nikiconnect charge haiingizi then ikaja ikazima baada ya siku mbili ikawaka after two days ikazima ndiyo jumla mpaka leo, naomba msaada tatizo ni nini? wala chaji haipitishi nimejaribu chaji zingine kimya!!
Back
Top Bottom