Nina vijana kadhaa nimewaajiri kwenye biashara ya kutembeza mayai ya kuchemsha. Sasa kuna wakati biashara iko vizuri kuna wakati inayumba
Nilikuwa nataka nijaribu kujua biashara zingine za kutembeza ili wengine wajaribu kufanya hizo hata wakati soko upande mmoja limeyumba tunaweza kufanya...
Ninataka kwenda kusomea umeme wa Magari lakini ninatatizika ni Veta gani iko vizuri kwenye course hiyo kwa hapa Dar Es Salaam au hata nje ya Dar
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tafadhali naomba msaada wenu wa Mawazo wadau,
Ni biashara gani yeyote ya mitaji ya chini ninaweza kufanya ikanipatia faida kuanzia 10k kwa siku?
Kwa Mazingira ya Dar Es Salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.