Recent content by samtq

  1. samtq

    TCU, hao watu wa Helpdesk mmewatoa wapi?

    Hizo 50000 zinafanya kazi gani? Helpdesk hawana weledi wa kazi unampigia simu anapokea na kuikata mnawakatisha tamaa vijana kufanya application
  2. samtq

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB lake zone mtujuze nini kinaendelea tuliwekwa reserve ya waliofaulu interview since mwezi wa 6
  3. samtq

    NMB mbona kimya?

    Kwa wale tuliofanya aptitude test last week, kuna yoyote mwenye updates zozote. Wanaita lini second interview?
Back
Top Bottom