Recent content by SAMTII

  1. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tuna Rais mmoja tu nchi hii, analoliamua wote tunapaswa kulifuata

    Tunataka kauli na msimamo wa namna hii,hakuna hakuna full stop hakuna mjadala!
  2. SAMTII

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Nendeni Dubai na wachumba wenu,msituchafulie nchi.
  3. SAMTII

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Tamko Kuhusu wito wa msajili kukutanisha vyama kwa ajili ya mazungumzo

    Mtoto akililia wembe mpeni mnambania ya nini?
  4. SAMTII

    JamiiForums Tanzania John Mrema; Kamanda wa operations na mbunifu wa Chadema anayeihenyesha CCM

    Ndiyo maana hulka ya uchaga haipungui ndani ya chadema!
  5. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Rais umepotoshwa: Polisi hawawezi kushinda jeshi la watu 45 millioni

    Umeandika upupu!mara wananchi wamechoka, mara hakuna uvumilivu! Mimi nasema hivi wanaotaka kuandamana ni wale wote waliofaidi keki la taifa hili kwa hila na yamewakuta. Hawatashinda na ukuta huo wanaodanganyia vijana wanaorubunia.
  6. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: UKUTA umedhihirisha CCM sio chama cha siasa

    Kuna udikteta mzuri na wenye tija kama wa Magufuli. Kuna udikteta mbaya wa kujenga hoja kuharibu udikteta mzuri ili kumchelewesha kiongozi asitimize matakwa ya wananchi ili wapate cha kuzungumza!.
  7. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Usahihi wa Taarifa ya Freeman Mbowe Kusafiri nje ya Nchi kabla ya Septemba Mosi

    Chama kinanuka rushwa,viongozi wananuka rushwa na wanachama wengi wao wananuka rushwa. MUNGU TUSAIDIE
  8. SAMTII

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Wee hewa acha uchochezi wako,nenda wewe kaandamane kama ni jeuri!
  9. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Lowassa: UKUTA sio fujo wala machafuko. Polisi ni ndugu zetu hawana haja ya kutupiga

    Tuna Rais mmoja Tanzania,hatuna Rais wa pili hivyo tumsikilize Rais huyo,wengine wanyamaze wasituchanganye.
  10. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo: Kati ya marais wote walioongoza Tanzania, Magufuli anakabiliwa na hali ngumu zaidi

    Magufuli is our president.P/se let as listen to one voice!.
  11. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Bashe na mtazamo wake juu ya maandamano ya CHADEMA (UKUTA)

    Ana majeraha na hasira ya uchaguzi ndani ya ccm kwa marafiki zake kutelekezwa!
  12. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Rais amteua Bw.Gabriel Fabian Daqarro kuwa mkuu wa wilaya ya Arusha

    Hongera ako Gabi!
  13. SAMTII

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Umenena kiongozi!
  14. SAMTII

    JamiiForums Tanzania CCM, muulizeni Bulembo shule za jumuiya ya Wazazi ziko ngapi nchini?

    Fungua www.wazaziccm.org.tz
  15. SAMTII

    JamiiForums Tanzania Ripoti: 61% ya Wahitimu wa vyuo vikuu wana uwezo mdogo kimaarifa

    Toka enzi ya mzee ruksa mbona?tatizo elimu yetu tunaweka mkazo kwenye vyeti kwa maana mwenye uwezo wa kukariri vizuri ndiye mwenye akili!
Back
Top Bottom