Recent content by Samsuka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Siasa: Kama hii katuni ya chatu na mbwa imechorwa na Masood Kipanya basi anapaswa kupewa tuzo ya kutuchanganya

    Kwa mawazo yangu. Chatu ni CCM Alafu Mbwa ni CHADEMA. Hii katuni mwanzo ilionesha mbwa kamezwa na chatu na alibaki miguu tu ( CCM iliwameza CHADEMA kwa wakati uliopita) Wakati huu inaonesha mbwa kutoa miguu na anatembea ila kichwa ni cha chatu (CCM imewapa unafuu CHADEMA ila kwenye uelekeo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuandika barua ya kuomba kurudishwa katika ajira ya ualimu baada utoro wa miaka minne

    Kwa kosa nililofanya nalitambua na tayari adhabu yake nilishapewa. Ila kwa taratibu na sheria za kiutumishi naambiwa naweza kurudi kama nitazifuata
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuandika barua ya kuomba kurudishwa katika ajira ya ualimu baada utoro wa miaka minne

    Ni kweli mkuu. Mahali nilikoenda sikuwa tena Na mawasiliano yoyote na mahali nilikotoka. Nilijadiliwa na hatua zote za kufukuzwa kazi zilifuatwa lakini mimi sijashiriki hatua yoyote.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuandika barua ya kuomba kurudishwa katika ajira ya ualimu baada utoro wa miaka minne

    Wadau Samahani Naomba msaada wa namna ya kuandika barua ya kurudi katika Utumishi baada ya kuondoka kazini bila kuaga na kupewa barua ya kufukuzwa kazi. Nilikua mtumishi katika wizara ya Elimu (Mwalimu). Niliondoka kazini bila kuaga tangu mwaka 2018 na kwenda kufanya mambo binafsi ambayo kidogo...
Back
Top Bottom