Dar es Salaam. Siku moja baada ya CCM
kutoa utafiti wake unaoonyesha
mgombea wao wa urais, Dk John
Magufuli atashinda kwa asilimia 69.3,
baadhi ya wasomi wamesema utafiti huo
umeibua maswali mengi kwa wananchi.
Juzi, chama hicho kilitoa matokeo ya
utafiti wake wa ndani uliofanyika katika
majimbo...