Recent content by Samson Ngomboli

  1. S

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Hao maafande wa tukio la binti wa Yombo Dovya hawatafungwa hata iweje

    Hao tayari kazi ilishaisha na kinachofuata ni mvua.Tunafukuza makomandoo sembuse hao.
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Doga amefariki Dunia

    Nasikitika sana anakufa bila kumjua na kumpokea kristo,hasara iliyoje kwake.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Taliban Washerehekea Miaka 3 ya kuitwanga na kuifurusha Marekani nchini mwao

    Marekani kaishi raha mtarehe miaka 20 na kakamilisha kilichompeleka eti useme umemfurusha,mjinga tu ndio atakubali.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa tajiri mkubwa sana, nauchukia umaskini

    Unazeeka na upumbavu wako
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunashuhudia Mapinduzi ya Kilimo ya kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia anajitahidi sana kwa kweli,tumpe maua yake.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Magaidi wa jihad wakutana na walaji watu wa Mali, unyama kwa unyama, yetu macho

    Acha walane huko huko maana ndio kazi wanayoiweza.
  7. S

    JamiiForums Tanzania “90 killed and 300 injured” in Israeli strike on Gaza “humanitarian area” | BBC News

    Inasikitisha sana lakini waache ugaidi wa kuua waisraeli.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yawezekana huyu ndo Secret Service counter assault team member aliyemuua jamaa aliyempiga risasi Donald Trump

    Watakuwa wenye Imani Kali za kidini walitaka kumuondoa maana wanamjua vizuri akiingia madarakani.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

    Taja mfalme mmoja tu wa palestina.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

    Ulongo mtupu,dozi waliyopewa Hamas hawatarudia tena upumbavu waliofanya miaka 100 ijayo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Muda umefika nchi za kiislamu na dunia iiambie Israel wacha na inatosha

    Hamas maelfu wameshapelekwa jongomeo na ndio maana kwasasa hata jiwe halilushwi ndani ya mipaka ya taifa teule la Mungu.
Back
Top Bottom