Recent content by samsolo the great

  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Kwanini Rais aliyepo Madarakani anafanya kampeni wakati bado Yuko Ikulu?

    Wao wanafanyaje kipindi kama hiki cha kampeni?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Polepole apuuzwe kuhusu gesi

    Ni kweli amesema ni tshs 2000 kwa change rate hiyo ya 104 huo mtungi utakuwa cuban peso kama 19 plus hongera zao sisi bei ya nishati haikamatiki yawe mafuta uwe umeme iwe gesi ni balaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna tija gani ya kushiriki Uchaguzi chini ya mazingira yaliyopo?

    Wanaamini uchawa wao unaweza ukasababisha wakapata teuzi wakati wa uundaji wa serikali mpya mara baada ya uchaguzi
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA kususia Uchaguzi wametuumiza wengi

    Hata kama wangeshiriki si rahisi kushinda kwa sheria za tume huru ya uchaguzi ya mwaka 2024.Ukiwa wakala katika kituo cha kura huruhusiwi hata kuwa na simu ya kumjulisha mgombea wako kiasi alichopata.Nakala ya matokeo utapewa iwapo tu kutakuwa na nakala za kutosha.Inachekesha sana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Lawama zote za CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu atapewa John Mnyika kuliko hata aliyeshupalia 'No Reforms No Election'

    Manyika hawezi kuwa ovyo kuliko watekaji na wasingizia kesi za uhaini
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Rais Samia na CHADEMA wakiwamo wadau wengine ni kuwa: "yeye hataki uchaguzi wa haki." Nani wa kumfunga paka kengele?

    Kinachokosekana ni utashi wa kufanya hivyo kutoka kwa watawala wakiamua hata leo wanaweza wakabadili vipengele vinavyolalamikiwa kwenye sheria ya uchaguzi ila hawataki wanaona watahatarisha vyeo vyao
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Watanzania.

    Sioni namna yoyote ya kuzuia vuguvugu la madai sheria bora za uchaguzi kwa muda mfupi ambao chadema wamefanya operation yao ya madai ya sheria zisizopendelea chama kimojawapo watu wengi wameanza kuelewa na kuushangaa uhuni wa kuteua wasimamizi unaofanywa na mshindani mmojawapo ambao umefanyika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Tundu Lissu kwamharibia Profesa Janabi kuchukua nafasi ya Ndugulile WHO

    Akishinda itakuwa mwendo wa mara usile hiki au msile kile
  9. S

    JamiiForums Tanzania No Reforms No Election yaingia Kanda ya Pwani, moto ule ule wa Kanda zilizopita kuendelea kuunguza

    Wasijali tuko tayari tumpamdishe Heche awe mwenyekiti na Lema awe makamu na si kumrudisha huyo mumtakae
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election? Litakuwa kosa la miaka 5!. Simamisheni wagombea acheni kususa

    Itakuwa ni kosa kubwa sana iwapo chadema itaamua kushiriki uchaguzi huu kwani hawawezi ambulia chochote zaidi ya kuja kutambishiwa na masisiyemu kwamba tumeshinda kwa kishindo.Waacheni na uchaguzi wao na tuvyama rafiki twa ccm mtakuwa mmefikisha ujumbe kwamba kuna uonevu chaguzi za Tanzania
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No Reforms No Election? Litakuwa kosa la miaka 5!. Simamisheni wagombea acheni kususa

    Raia watakaojitokeza kulinda kura zao huoni watakuwa kwenye hatari ya kudhuriwa na vyombo vya dola pamoja na green guard kama tulivyowahi shuhudia chaguzi za huko nyuma !
  12. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikigeuka na kuikacha no reforms no election hakuna atakayeichukulia serioua tena

    Ni heri tuendelee kuchangia chama kwa njia ya tone tone kuliko kushiriki kwenye uchaguzi ambao umesheheni hatari luluki za kuuliwa kwa wagombea na wafuasi wa chadema na kutoheshimiwa kwa matokeo kwenye sanduku la kura.Ili mpinzani atangazwe lazima watu wapigwe risasi watu wafungwe au kuwe na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikigeuka na kuikacha no reforms no election hakuna atakayeichukulia serioua tena

    Kwa miaka mingi chadema wamenangwa na masisiyemu kwamba hawawezi kuacha kushiriki uchaguzi mkuu kwa mazingira yoyote kwa kuhofia kukosa ruzuku mwaka huu wamewaproove wrong
  14. S

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa vyama vingne vya upinzani mnasubiri nini kujitokeza hadhani ku support No Reform, No Election

    Madai ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi yametolewa kwa miaka mingi lakini ccm imeyadharau au kufanya marekebisho ya kimagumashi mfano sheria ya sasa kuna kipengele kinasema watu wanaoshughulikia uchaguzi hairuhusiwi kuwashtaki ikiwa kuna kosa watalifanya wakati wa mchakato wa uchaguzi.Hapo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu na hoja zake dhaifu dhidi ya Serikali

    Hivi hiyo kura ya hapana wakala wake atakuwa nani ?Acheni ghiliba kwa kuweka sheria zinazolenga kukinufaisha chama cha mapinduzi huku vingine vikiwekewa mazingira magumu ya kushinda
Back
Top Bottom