UKISTAAJABU Musa, utayaona ya Filauni! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo wa kimataifa wa Italia, anayekipiga Paris Saint-Germain (PSG),Marco Verratti kukiri kuwa yeye ni mwanamke.
Hiyo ni kafsha mpya ambayo italisumbua soka la Ufaransa. Kwa mujibu wa mkutano wa waandishi wa habari...