Recent content by samirer

  1. S

    JamiiForums Tanzania Faida za Qisti 30

    Samahani Rakims, hii ndio qist al hindi?? Niliambiwa ni fusho la watu wa nyota ya nge je ni kweli?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waarabu hata wa hapa Tanzania wanashangilia sana Ushindi wa Trump?

    Umeulizwa waarabu na waswahili umewaingiza waislamu dah..punguzeni kidogo🚬
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha urafiki na Besti/ Mshkaji wako kufa?

    Dah mm nna bahati mbaya na marafiki waongo waongo wanapenda kujisifia wanapenda ushindani washari washamba sijui nna mkosi gani 🥹🥹 Huwa sidumu na rafiki hata miezi sita najikuta nampotezea nafanya yangu. Hivyo sina rafiki am alone na siwataki pia naona maisha ni ya amani ikiwa hivi👋
  4. S

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuanzisha biashara ya shule ya chekechea(daycare)

    Habari zenu ndugu zangu. Naombeni kwa anayefahamu chochote kuhusu biashara hii ya shule za watoto wadogo anipe muongozo japo kwa uchache kwa kuzangatia yafuatayo: 1. Utaratibu wa usajili wa kituo na kiasi cha pesa cha kusajili 2. Curriculum nzuri ya kutumia ambayo ni applicable 3. Faida na...
Back
Top Bottom