Recent content by Samiah julius

  1. Samiah julius

    Mwanzo wa meditation

    Wow
  2. Samiah julius

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nimevituwa sana na Fx naomba nisikose kwenye darasa tafadhal
  3. Samiah julius

    Mchumba wangu ni HIV Positive, nina ujauzito wake nashindwa kumuacha

    Ulishawah fikiria ukipewa majibu hayo unaweza kuwa katka hali gan? Well nimeomba ushaur tu hata naweza omba tena na tena sidhan kama kuna kikomo cha mtu kuomba ushaur kama huwez shaur then kuwa kimya tu
  4. Samiah julius

    Mchumba wangu ni HIV Positive, nina ujauzito wake nashindwa kumuacha

    Wajua hamna anaetaman kupata ma tatzo na umeona nimekuja kuomba ushaur jua nimekuwa njia panda sasa ukiniambia hvyo n umenibeza au umenifanya nijione mjinga dah Nashkuru ndugu yangu Ila hujafa hujaumbika sisi n binadamu kama hukuwa na jema la kuandika ungekaa kimya tu kuliko kuniandikia hivi
  5. Samiah julius

    Mchumba wangu ni HIV Positive, nina ujauzito wake nashindwa kumuacha

    Nimekuelewa ndugu hata mm nimemshaur tukapime sehemu nyingne ili kujiridhisha na majibu hasa kwa usalama wa mtoto Ila dah sikuwa nimetegemea kufikia huku katka maisha yangu kwa namna nlivyojal afya yangu na ubaya zaid nlishaamua kuwa sihitaj mahusiano mengine zaid ndo maana nlijitahid sana...
  6. Samiah julius

    Mchumba wangu ni HIV Positive, nina ujauzito wake nashindwa kumuacha

    Ndugu unataka kuniambia hujui mimba inapatkanaje? Ni imetokea tu nimekutwa Salama anajua yy alipotoa huo ugonjwa naweza sema n Mungu tu
  7. Samiah julius

    Mchumba wangu ni HIV Positive, nina ujauzito wake nashindwa kumuacha

    Ni miezi kadhaa tumekuwa na mahusiano. Ni kweli kwamba nilimkuta na vimeo vingi sana ila aliniahidi kuacha lakini tulipokuja swala la kupima alikuwa akiitikia tu na kutumia kila namna tuhairishe kwenda kupima. Kwa kweli alifanikiwa na hayo mawazo yakanitoka. Sasa mimi ni mjamzito, siku ya...
Back
Top Bottom