Recent content by Same Pare

  1. S

    Kiongozi wa UKAWA Kahudhuria Vikao Vya NEC ya CCM, Nini Tafsiri Yake?

    Ni kawaida sana hata cdm walituma mwakilishi.kumbuka mkutano wa cdm Philip Mangula wa ccm alikuwapo.Muwe wepesi wa kungamua
  2. S

    Wabunge wajirudi: Wadai Lowassa hakuchukua hata senti ya Richmond!

    Du mmejifungia ndani ya kabox ka kiberiti tokeni humo.Na nukuu sihitaji mgombea atakaye kuwa na kszi ya kujisafisha ndipo aeleze uwezo wake.
  3. S

    Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

    Shida ni kuendelea kungangania chama cha kifisadi,ulafi,unyonyaji,ubinafsi wakati unatakiwa kikiondoa kidemokrasia hutaki .Kwa nini wewe na kuuliza kwa nini
  4. S

    Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

    Huyu Monabani alikuwa mwinjilisti,sasa kajiunga na L nakuacha utumishi kwa ajili ya fedha, Huu ni uyuda.Hafai we mtoa hoja hebu tupe historia yake ya biashara.
  5. S

    Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

    Shida ni kuendelea kungangania chama cha kifisadi,ulafi,unyonyaji,ubinafsi wakati unatakiwa kikiondoa kidemokrasia hutaki .Kwa nini wewe na kuuliza kwa nini
  6. S

    UKAWA wakimsimamisha Dk. Slaa itakuwa landslide victory kwa CCM

    Mie Faraji Athumani na wengine tutampa kura ili mradi awe ukawa
  7. S

    Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    Niliagiza RAV 4 kwa $ 7000 nikatoa kwenye mto wangu kwani ndoninako hifadhi hela yangu kiasi cha TSH 11,200,000 dola ilikuwa Tsh 1600 Ingekuwa leo ingenibidi nitoe kwenye hiyo account yangu TSH 13,580,000.Mie sijui kupiga mahesabu hata nikitaka kujua idadi ya mali zangu natumia vijiti lakini...
  8. S

  9. S

    CHADEMA Imeshapoteza Majimbo ya Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015

    A you consulting,CDM,CUF,NCCR,NLD (UKAWA) or you are alerting them, cation or,what is your interest. First declare what is your interest shortly with tangible points I real want to help you
  10. S

    CHADEMA wawekeana mizengwe nafasi ya Ubunge Mwanga

    Nimesikitishwa sana na taarifa hii. Lakini hili niangalizo kwa CDM,viongozi wasiwe na upande wowote katika watia nia tena ningesema wasijihusishe nao.Pia huyu katibu Lema hafai hafai,tulisha peleka taarifa kwa uongozi wa juu jinsi anavyo kivuruga chama lakini hakuna hatua yoyote...
  11. S

    NCCR wapinga mgao wa Majimbo UKAWA

    Haya tulijua yatatokea na haya ni madogo sana na hayana uratibu rasmi bado wanajipanga kuhujumu UKAWA kwa mkakati rasmi. UKAWA tutatasongo mbele na tutafanya maamuzi yetu kulingana na tukio,mazingira,mtu,nk. (Varughe vushaa tekinasha icho.)
  12. S

    Mpango wa uvunjifu wa Amani Uliosukwa na Mkuu wa wilaya wa naswa

    Ni hivi CCM na mawakala wake Wilaya wanajua uchafu walio ufanya katika kijiji cha makanya wanafanya kila nijia kushawishi wananchi ili kiongozi huyo aonekane hafai.Kwanza wamefungua kesi mahakamani wasubiri majibu. Ushauri wangu nduguzangu wa makanya tume onewa na kudhulumiwa kwa muda mrefu...
  13. S

    Mbowe awatia moyo watia nia ya kugombea wasio na pochi nene.

    Kanena ya ukweli tena wana changanya wana chama wana SAME na Pare yote tumesikia kauli ya m.kiti naomba tujitafakari na vishawishi vya mtu anayetumia fedha ataleta ukoma
  14. S

    Mbowe awatia moyo watia nia ya kugombea wasio na pochi nene.

    Meseji muhimu kwa wakati muhimu.Tena hawa wenyepesa wachunguzwe kwa nini wana timia pesa.Mosi uwezo wao wanajua ni mdogo wakijilinganisha na wengine.pili hawana utumishi wana uroho wa madaraka.tatu wana wachanganya wanachama na kukiweka chama matatani.
Back
Top Bottom