Recent content by sambarai2000

  1. S

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Viwanja vya Polisi Himo: Mkutano wa mgombea urais wa CHADEMA jimbo la Vunjo

    Kweli inapendeza kujifariji. Hamna mtu aliyeletwa malori. Hapo ni himo na marangu tu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Stop REDET: Matokeo ya utafiti hayaruhusiwi

    Ataenda kuomba msaada kisukuma
  3. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Kwa akili ya kawaida ccm inatapatapa. Its over
  4. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Tukiambiwa tz hamna elimu bora tunalalamika. Sasa mnejioneya wasomi tulionao. Ni aibu. Nchi haitaweza kupata maendeleo kwa mfumo huu wa elimu. Hata utafiti !. unawashinda. Aibu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mrema na jimbo la Vunjo

    Sisi wanavunjo tunampenda na kumjali mrema. tunamshauri apumzike
  6. S

    JamiiForums Tanzania Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Mm pamoja na familia yangu na wafanyakazi wangu ni kura 56. zote lowasa. Nimetimiza wajibu je ww?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Zzk na slaa wanafanana kwa mengi moja kubwa hela kwanza chama badaye
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Ninawashangaa Mawaziri Wakuu wenzangu

    Mnafiki. Hajui atendalo. Njaa mbaya
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Ukawa Mtwara mabomu yalindima

    Amenunuliwa
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nani unapenda awe rais wako kati ya hawa?

    Lowasa
Back
Top Bottom