Recent content by Samaritantz

  1. Samaritantz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za mahusiano naomba ushauri

    Habari za wakati huu jamani. Mimi ninachangamoto moja ninapendwa na mwanamke ambae tayali kwao amesha tolewa posa na huyo mwanamke hataki kuniacha. Naombeni ushauri wadau.
  2. Samaritantz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza akawapenda wanaume wawili?

    Sasa hapo ni mwanamke ambae ana mtoto mmoja na amesha tolewa posa. Ndio naulizia Sasa anaweza mpenda mwanaume mwingine na wakadumu
  3. Samaritantz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza akawapenda wanaume wawili?

    Hivi mwanamke anaweza akawapenda wanaume wawili. Nikimaanisha kwamba mwanamke yupo na mahusiano yake na tayali amesha tolewa posa. Je, anaweza akampenda mwanaume mwingine na wakadumu katika uhusiano?
Back
Top Bottom