Recent content by samaritanboy

  1. S

    Lubuva kushitakiwa mahakama ya Tanzania

    Lubuva kushitakiwa mahakama ya Tanzania Wakati kesi ya kupinga kuchaguliwa kufuli ikifunguliwa katika mahakama ya ICJ kwani matokeo ya Urais hayapingwi katika mahakama za Tz, But Lubuva anaweza kushitakiwa katika mahakama za Tz kwa kupuuza ukweli wa kura zilizopigwa na kushirikiana na...
  2. S

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Sheria hii inampa kinga aliyechaguliwa kuwa Rais lakini siyo afisa wa tume aliyefanya Makusudi kupotosha ukweli. Kama afisa au kamishna wa tume amepotosha umma kwa kutangaza uongo basi hana kinga kisheria kwani jambo alilofanya ninaweza kuvuruga amani ya Nchi. I think inaangukia katika makosa ya...
  3. S

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Lubuva kushitakiwa mahakama ya Tanzania Wakati kesi ya kupinga kuchaguliwa kufuli ikifunguliwa katika mahakama ya ICJ kwani matokeo ya Urais hayapingwi katika mahakama za Tz, But Lubuva anaweza kushitakiwa katika mahakama za Tz kwa kupuuza ukweli wa kura zilizopigwa na kushirikiana na...
  4. S

    CHADEMA watua ICJ, kupeleka mashitaka ya uchaguzi Mkuu

    Hata Kama matokeo ya Urais hayapingwi katika mahakama za Tz, But Lubuva anaweza kushitakiwa kwa kupuuza ukweli na kushirikiana na Masisiem katika kutangaza takwimu za uongo, na hivyo kupelekea kutangaza Mshindi wa Uongo, U mchakato wa kumshitaki Lubuva unapaswa kuanza mara Moja
  5. S

    'Inadaiwa' Gari la kura fake lakamatwa Njombe ikielekea Mtwara

    Kwanini gari ya serikali ibebe T-shirt za sisiemu?
  6. S

    'Inadaiwa' Gari la kura fake lakamatwa Njombe ikielekea Mtwara

    Taarifa ya kamanda wa Polisi utata Mtupu! Gari ya serikali kwanini ibebe T-shirt za sisiemu? Kampeni zimeisha na kesho hawaruhusiwi kuzivaa zinakwenda kufanya nini? Kwa nini box za t-shirt zifanane na za kura?
  7. S

    'Inadaiwa' Gari la kura fake lakamatwa Njombe ikielekea Mtwara

    Njombe kimenuka! Gari lililojaa kura za kufuli limekamatwa inasemekana lilikuwa njia kwenda songea, usiku wa kuamkia leo, Polisi wanapiga mabomu kuokoa watuhumiwa. Tunaendelea kufuatilia Habari hizi ili kuwapa taarifa kamili kilichojiri. Tunaomba watu wa Njombe mtupe update ya hili...
  8. S

    Ajali mbaya kimandolu

    Poleni sana
Back
Top Bottom