Recent content by SAMAP

  1. S

    JamiiForums Tanzania Spare parts za Honda Crossroad

    Habari Mkuu nipe mawili matatu kuhusu Honda Step wagon Spada. Ina ushuru kidogo kuliko Noah. Niko Shinyanga kwa Mwanza upo uwezekano wa kuwa na spears za Honda? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ubora na tofauti za Honda HR-V NA CR-v

    Na mimi ninategemea kuelimika hapa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Toyota Brevis na heshima zake

    Tafadhali niambie machache kama una uzoefu/kuifahamu Honda Step wagon
  4. S

    JamiiForums Tanzania HONDA STEPWAGON V/S NOAH NEW MODEL

    Kwa matumizi ya kifamilia tu wala si kwa Biashara.
  5. S

    JamiiForums Tanzania HONDA STEPWAGON V/S NOAH NEW MODEL

    Asante kwa ushauri
  6. S

    JamiiForums Tanzania HONDA STEPWAGON V/S NOAH NEW MODEL

    Asante kiongozi
  7. S

    JamiiForums Tanzania HONDA STEPWAGON V/S NOAH NEW MODEL

    Hiyo Noah ni mpya sana tofauti ya ile yenye engine ya D4 hii imeimarishwa zaidi baada ya engine ya D4 kuwa na matatizo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Magari Adimu (brand tofauti na TOYOTA, Magari yenye changamoto ya upatikanaji wa Spare Parts) Tukutane Hapa

    Ninataka kununua Honda stepwagon ninaomaba ushauri kuhusu 1. Uimara wake 2.upatikanaji wa spears 3. Uvumilivu katika barabara zetu za vumbi
  9. S

    JamiiForums Tanzania HONDA STEPWAGON V/S NOAH NEW MODEL

    Ninaomba kufahamu kuhusu gari hizi mbili Honda stepwagon na Noah new model. 1. Uimara wake 2.ukaji wa mafuta 3. Upatikanaji wa spears hapa Tza 4. Uvumilivu wa barabata zetu
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wakulima wanaipenda CCM, Wafanyabiashara wanaipenda CCM, Wafanyakazi wanaipenda CCM - 2020 CDM jiandaeni kuisoma namba!

    Huenda uchaguzi ujao wakaiba kura mpaka zikashindikana kuibiwa. Mioyo ya watu inaungulika ndani kwa ndani
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kati ya Toyota Spacio v/s Toyota Wish

    Vipi kuhusu Mazda Premacy ukilinganisha na wish Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kati ya Toyota Spacio v/s Toyota Wish

    Nimeiona hii inafanana sana na Wish inaitwa Mazda Premacy. Wazoefu niambieni ina hii mazda premacy ina tabia kama za Wish za Bodi kuharibika mapema au premacy ni ngumu. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    Hapa jibu bado wataalam tafadhali Nisaidieni ninataka kununua Nissan Serena mwenye uzoefu nayo aniambie uzuri wake na changamoto zake pia ulaji wa mafuta ukoje. Sent using Jamii Forums mobile app Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wote wa magari ya Nissan tukutane hapa

    Natamani ukweli huu watanzania wote wapenda magari waujue... Nisaidieni ninataka kununua Nissan Serena mwenye uzoefu nayo aniambie uzuri wake na changamoto zake pia ulaji wa mafuta ukoje. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom