Kijana amka ni kikundi ambacho kina toa elimu kwa vijana kuwa na mtazamo chanya, kujiajiri, na kujikwamua kiuchumi. Kijana amka tunapatikana mkoa wa mwanza kata ya mkuyuni. Lengo letu ni kuakikisha vijana wote wanakua na mtazamo tofauti kwenye maisha kuwa weka pamoja na kutengeneza miradi yenye...
Moja ya vitu tulivo vifanya kutembelea vituo vya watoto yatima namba yetu ya wasap no.0628181393
electrical enginer kwa kazi yote ya umeme nipigie simu no.0628181393 na promote bidhaa aina zote
Kijana amka ni project ya kuamsha vijana kua na mtazamo chanya kuelimisha vijana wanao tumia madawa ulevi walio kata tamaa wanao waza kuajiriwa kijana amka inapatikana mkoa wa mwanza kata ya mkuyuni imeanza mwaka 2018 naitaji mfadhili ili tuweze kuwafikia tanzania nzima vijana na kutengeneza...
Hodi wadau wa JF mi ni C.E.O wa kijana amka naitaji ushirikiano wenu project yetu bado nk changa tunaitaji wadhamini nitafurahi sana nikipata mdhamini umu kundini tatizo langu nikipost si pati kuona comment za walio coment kwenye post yangu
electrical enginer kwa kazi yote ya umeme nipigie simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.