Recent content by sam g

  1. sam g

    JamiiForums Tanzania naomba msaada kwa shule ya private ya bweni kwa comb ya PCB

    m wa kiume xo hizo zote zipo mkoa gan na vp kuhusu garama...?
  2. sam g

    JamiiForums Tanzania naomba msaada kwa shule ya private ya bweni kwa comb ya PCB

    kwa yeyote anaejua shule kwa a -level private yenye mchepuo wa sayansi (PCB) pia iliyo na bweni...naomba msaada wenu mkoa wowote ule tz..pia cmbaya ukiniambia na garama zake kama unazifaham..
  3. sam g

    JamiiForums Tanzania Nahisi nitafukuzwa chuo jaman

    kaza buti kimaombi coz mungu ndo kimbilio le2 cc wanadam...xo worry out atakuxaidia..!!
  4. sam g

    JamiiForums Tanzania Tunauza magari kwa bei ya biscut

    kwa yeyote anaehtaji gari ya aina yeyote ..piga comment hapa.
  5. sam g

    JamiiForums Tanzania et ntachaguliwa combi gan

    nilichagua PCB
  6. sam g

    JamiiForums Tanzania et ntachaguliwa combi gan

    phy C,BIOS C,CHEM C,GEO D,MATH D, KISW B,HIST D,ENGL D, CIV C,
  7. sam g

    JamiiForums Tanzania Waliofeli kidato cha nne waula, ufaulu sasa waongezeka

    hongera baraza la mitihani kwakuwajal wadogo ze2..,!
  8. sam g

    JamiiForums Tanzania Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

    sio kosa lako kwa sababu we mwenyewe lazma tu kama ulifaulu ni kwa kubahatisha ndio maana uwezo wako wa kufikiri ni mkubwa sana kama chembe ya mchanga
  9. sam g

    JamiiForums Tanzania Form 5 wa mwaka huu ni vichwamaji

    acha kutugeneralise kwa kutuita vichwamaji siku hizi kila mtu anajifanya mchambuzi fikiria vizuri kabla ya kuandika sio kukurupuka tu!
  10. sam g

    JamiiForums Tanzania Nataka kurudia 4m4.

    kwann urudie..?
Back
Top Bottom