Recent content by Salve

  1. S

    JamiiForums Tanzania Binti Mariam

    Sioni kizuizi chochote kwani wewe na kaka yako kuoa familia moja kuna shida gani...unless ni elimu mpya mujini hapa!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ndoa nyingi zinavunjika?

    Imekuwa ni janga si tu katika nchi zetu za ulimwengu wa tatu bali hata katika ulimwengu wa kwanza. Naomba tujadili kwa umakini mkubwa kiini cha tatizo na jinsi ya kukabiliana nalo...maana maisha na ustawi wa mwanadamu unakuwa hatarini katika ulimwengu usiokuwa na familia zinazosimama katika...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Amlazimisha mme wake aoe mke wa pili

    masaa matano hajakojoa tu...basi hiyo nayo itakuwa kali
  4. S

    JamiiForums Tanzania Is sex addiction real?

    Kwaresima lakina Lara1
  5. S

    JamiiForums Tanzania Anapenda wake/wapenzi wa rafiki zake!

    Tena ajabu jamaa mademu wake hawataki anataka wa rafiki zake!!!!!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Amenunua miezi sasa!

    Mkuu sitauweza huu bora nichape mwendo kabla ya hatari...thanks kwa ushauri
  7. S

    JamiiForums Tanzania Anapenda wake/wapenzi wa rafiki zake!

    Kabisa ...ni ushamba wa hali ya juu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Anapenda wake/wapenzi wa rafiki zake!

    Ni ushauri kutoka kwenu wana jamii...maana nina rafiki yangu...yeye anapenda sana totoz ila hasa wake au wapenzi wa watu wa karibu naye hasa mabest zake...sasa amenisimulia hali hiyo pamoja na kukiri kuwa ni shida ila sioni kama anajuta maana ndio kwanza baada ya muda utamsikia anaanza kusifia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Amenunua miezi sasa!

    aha aha aha aha aha aha nimependa hiyo mkuu...maana unaiburuza mpaka anajuta...unatoa kwa ndoano
  10. S

    JamiiForums Tanzania Amenunua miezi sasa!

    MMMh kumbe!!!??? ila sidhani kama ni hivyo kwa kweli sema anataka afanye atakavyo...any way
  11. S

    JamiiForums Tanzania Amenunua miezi sasa!

    mh ok kumbe?!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Amenunua miezi sasa!

    kabisa mkuu...umenena
  13. S

    JamiiForums Tanzania Amenunua miezi sasa!

    shukrani kwa ushauri mkuu...maana urafiki hivi nikiweka ndani je?
  14. S

    JamiiForums Tanzania Amenunua miezi sasa!

    tHANKS KWA USHAURI MZURI HUU
  15. S

    JamiiForums Tanzania Amenunua miezi sasa!

    Thanks kwa ushauri wako
Back
Top Bottom