Katika hali ya kawaida haiwezekani CCM imvue uanachama mwanachama wake kwa siri pasipo kuwatangazia wanachama, wapenzi, wafuasi wala wananchi kwa ujumla halafu wajifanye kuwatangazia baada ya mwanachanama husika kutangaza mwenyewe kujivua uanachama! Yani CCM imvue Uanachana Mwanachama wake...
Haiwezekani kila kukicha kiongozi unalalamika badala ya kufanya maamuzi sahihi na kuwaonyesha njia wale unaowaongoza!
Wananchi walalamike, kiongozi ulalamike, Sasa hapo nani wa kuongozwa na nani, nani wa kumuongoza mwingine?!
Nakumbuka mwaka 1990 babu yangu aliwahi kuniambia kwamba...
Nimekaa nikatafakari kitendo cha baadhi ya viongozi hususani wale wateule ambao mara nyingi wamekuwa hawawezi kufanya mambo ya maendeleo mpaka wajinadi au kujionyesha kupitia vyombo vya habari hata kwa mambo ambayo hayana ulazima wa kifanya hivyo!
Hivi kweli mpaka hapa tulipofikia kitendo cha...
Ifike wakati Serikali iache double standard zisizo na kichwa wala miguu! Huku sheria zinakubali halafu kule sheria zinakataza. Huku mtanzania huyu anaruhusiwa hiki kule Mtanzania yule haruhusiwi kilekile ilihali ni ndani ya nchi ileile Katiba ileile na raia walewale halafu bado kuna watu hawaoni...
Umri wa kustaafu unawahusu watumishi wa umma pekee au pamoja na viongozi wote wa serikali, Mahakama, Bunge na Wabunge?!
Sheria zetu zinasemaje?!
Kwasababu kituko kitakuwa ni pale ambapo anayetoa taarifa kuhusiana na wale ambao wameghushi vyeti vya kuzaliwa na umri wao ili waendelee kudumu...
Ni hivi;
1. Ukiona nchi yoyote ambayo uchumi wake unadorora, hali ya maisha ya wananchi inakuwa ngumu, viongozi wanakuwa mstari wa mbele kuivunja Katiba ya nchi badala ya kuiheshimu, Kukosekana kwa huduma muhimu za kijamii, wakosoaji wanafungwa midomo na kutishiwa maisha kisa wamekosoa...
Nimesoma taarifa kuhusiana na baadhi ya Madiwani kadhaa wa CHADEMA jimbo la Arumeru Mashariki ambao wamejivua uanachama wa chama hicho na kuhamia CCM ili kumuunga mkono rais. Kwakweli nimepata shida kidogo kuwaelewa wahusika kama kweli walikuwa ni viongozi wanaojitambua na kutambua maana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.