Recent content by salva mwanaharakati

  1. S

    Mjadala: Side Comments: Tathmini ya Utawala wa Rais Kikwete (2005-2012)

    nawasalimu katika jna la MUNGU muumba wa mbingu na nchi! kwa habari yatathmini ya utawala wa huyu kiongozi wa sasa wa Taifa letu, nimepitia maoni na maswali mengi ya wachangiaji wenzangu nimejifunza mengi, kwa kuzingatia ukweli kwamba; mahitaji ya watanzania katika maisha ya kila siku hasa...
  2. S

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Haya a mengineyo yote ni maoni ,ila naomba msome hii!! hivi ni nini kiini cha wazo la huyu mtoa mda kwa mtazamo wako? kwa kiini hicho, katika wakati huu tete, unadhani ni vema kwa watu wapevu kisiasa kulianzisha hili? vile vile ukijiona wewe ni mchanga ktk uchambuzi na utambuzi wa mada fulani...
  3. S

    Mbunge wa Chadema Kaishia Darasa la Saba-CV Hii hapa

    kwa muda wote nilikuwa nasoma ujumbe nione nini lengo na uweledi wa mtoa mada ili nitoe mchango wangu! nimebaini anafahamu kuwa hivi punde CHADEMA itaingia ikulu ila anatoa rai kuwa, wasichague mwananchi wa darasa la saba kwa nafasi ya uwaziri! si wazo baya, ila anaonekana jinsi alivyo na...
Back
Top Bottom