CCM imelifanya taifa kuwa na watu wajinga kupita kiasi , Baada ya kupata uhuru iliwaahidi wananchi kilakitu bure elimu afya maji nk. Matokeo yake kilakitu kimeporomoka. Hakuna kitu kibaya kama kuwa mtegemezi . Bara lote la Afrika tumakua omba omba na hatujiulizi kwanini ? Huduma nzuri inaharama...
Mtu akesha danganya mara 1 basi atadanganya tena . Kama pesa ya znz inayo kusanywa na TRA haivuki MaJi sasa Hao TRA kule znz wanatafuta nini ? ZNZ wana ZRB nao wanakusanya Kodi .Basi labda znz ni matajiri wanalipa Kodi Mara 2 au wajinga wanahitaji msada wa TRA.
Lakini kasahau kama lipumba ameshajiuzulu na si mwanachama tena wa CUF sasa unategemea watu wamjibu nini . Na hayo mamlaka ya kumtambua au kutomtambua kayatoa wapi ?
Royal shell ni kampuni ya Holland ilio haribu mazingira kwenye Niger Delta inashiriki kukiuka haki za binadamu barani afrika
Hapa kwetu kuna viongozi wanajiona wajanja wakiingia mikataba na hao wazungu ,kuna walouza zahabu na mchanga Wake ,kuna walo nunua ndege ya raisi na kusema hata tukila...
Ethiopia ina umeme mwingi kuliko zanzibar
Ina arizi kubwa kuliko zanzibar
Ina vivutio vingi vya watalii kuliko zanzibar
Ina shirika kubwa la ndege Africa
Ina treni ya umeme ya mjini
Cha ajabu ni kwamba zanzibar ina watalii wingi kuliko ethiopia , na ukiacha hivyo vitu vyote walokuwa navyo...
viwanda vya tanzania vitaanzia kupitia kwa kila mtanzania .
Lakini tunashinda hata kujadiliana ,kukosoana kufahamiana na kusameheana je tunaweza kuanzisha na kuendesha viwanda ? Viwanda ni biashara yenye ushindani ,bizaa za tz ni ziko hali ukilinganisha na za nchi nyengine .watanzania...
Kama watanganyika wana elimu kweli basi wangeliipokea kwa mikono miwili ile katiba ya warioba . Hakuna kitu kizuri kama kiishi kwenye nchi yenye demokrasia na watu kuheshimiana .
Hapa mlipo fika hamstaili kuwepo .wengine wana potezwa wengine wanauwawa watu wanaogopana nikizitizama Naomi humu ni...
Hii nchi haina bahati .
Kaanza nyerere kawalisha watu sembe la farasi
Mwingi kawapa watu matumaini
Mkapa mmoja wa marais tajiri africa
Kikwete Safari nyinyi rushwa nyingi
Sasa kaja huyu hajui hata anacho kifanya ..
Uhuru ulidaiwa watu hawana elimu ,walikua wanamuona mwalimu kama mungu .
NI...
Nyinyi mnajiona mko safi na hamna upungufu .
Mnajitoa fahamu na mnajiona watanzania.
Kumbukeni nyinyi ni watanganyika mna ukabila na udini. Leo yupo magufuli nafasi muhimu zote kawapa jamaa zake ukiwachilia chatto Airport.
Usimcheke mwenzio
Weye kwani shida yako nini kununua sukari bei chee, kumuunga mkono magufuli wa viwanda na kufa njaa . Hebu fikiri sukari inatoke brazil inalipiawa ushuru na bado rahisi kuliko hio ya magufuli . Sasa hujionei huruma
Wewe badala ya kuwatetea watanzania wanao nyanyaswa na kuteswa na maguful, unawazungumzia nyumbu na pundamilia ambao wako huru wanatoka kenya kuja tanzania.
Mimi naona hapana Cha kufurahia . Hizo ndege hazikununuliwa ili nchi ipate maendeleo au serekali ifanye biashara na kupata faida ...
Hizo ndege zimenunuliwa kwa sifa au kuiba Kodi ya wananchi.
Rais mwenyewe anajua kama hapo hapana faida .
Hio pesa bora wangenunua matrekta wakawakopesha wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.