Kiukwel wizara hapa imefanya wataaalam waone wao ni waswahili...ikumbukwe wataalam walioenda kwny huo mradi wengi wao ni kutoka familia za hali za chini na hiyo ilikuwa sehem ya kujipatia walau mitaji ila ndo imekuja kuwaangamiza zaidi ya walivokuwa mitaani
Nina Shahada ya Mipango ya maendeleo
(Bacherol degree in Regional Development Planning)
Nina uzoefu wa miaka miwili....mdau wa JF mwenye connection tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.